Kwanini na sisi tusiende kuvamia huko na kuchota mafuta?Huwezi kujilinganisha na wamarekani maana wao wanazo mbinu nyingi za kuishi ikiwemo kuzivamia nchi za waarabu na kujichotea mafuta
KIKWETE WA WATU YEYE ALITunapoelekea sio pazuri. Mikopo ni mingi mno na bado hali za kiuchumi za wananchi ni ngumu.
Kama hatutaimarisha na kuweka mazingira ya uchumi wetu kukua basi madhara ya mikopo hii inaweza kuonekana na kuwepo hata miongo mitano ijayo
Kwani mimi nimesema kukopa ni vibaya?Naantombe Mushi, Wewe usijitekenye. Hakuna nchi duniani isiyokopa, tuondolee kelele zako hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sharti la kupewa mkopo ni kwamba unakopesheka. Ndiyo maana mfadhili wako atakuuliza ueleze jinsi utakavyoutumia mkopo; mapato yako yalivyo hivi sasa na yatakavyokuwa katika kipindi tarajiwa cha uhai wa mkopo. Akijiridhisha na yote hayo ndiyo anakupa mkopo. Kwa hiyo mpaka benki wamekubali kutoa mkopo wameridhika kwamba uchumi wa nchi haujambo na Tanzania itaweza kuurejesha huo mkopo. Sasa wewe hizo hofu za kuuita uchumi wetu mbovu ni chuki zako tu za maendeleo yanayoletwa na serikali.Tunapoelekea sio pazuri. Mikopo ni mingi mno na bado hali za kiuchumi za wananchi ni ngumu.
Kama hatutaimarisha na kuweka mazingira ya uchumi wetu kukua basi madhara ya mikopo hii inaweza kuonekana na kuwepo hata miongo mitano ijayo
Tatizo maoni yako yameathiriwa na kabila mkuu.Sharti la kupewa mkopo ni kwamba unakopesheka. Ndiyo maana mfadhili wako atakuuliza ueleze jinsi utakavyoutumia mkopo; mapato yako yalivyo hivi sasa na yatakavyokuwa katika kipindi tarajiwa cha uhai wa mkopo. Akijiridhisha na yote hayo ndiyo anakupa mkopo. Kwa hiyo mpaka benki wamekubali kutoa mkopo wameridhika kwamba uchumi wa nchi haujambo na Tanzania itaweza kuurejesha huo mkopo. Sasa wewe hizo hofu za kuuita uchumi wetu mbovu ni chuki zako tu za maendeleo yanayoletwa na serikali.
Kitu ambacho hamfahamu ni kwamba asilimia zaidi ya 70 ya deni la US ni deni la ndani yaani serikalii kuu imekopa kutoka mashirika ya Umma mfano kwa huku Tz ingekua NSSF,TPB,TPA n.k hivyo ni sawa na serikali hiyo hiyo kujikopesha.
Titicomb,
Unfortunately, riba siyo kubwa vile. Riba hutozwa kulingana na risk; serikali inapokopa huwa hakuna risk kubwa na hivyo riba yake pia siyo kubwa. Riba ambayo mimi na wewe tutachajiwa na benki ni karibu mara tano zaidi ya riba ambayo Kampuni za Azam hulipa na ni karibu mara nane au zaid ya riba ambayo serikali hulipa!
Hujui taratibu za financing; riba huendana na anticipated risk.Alikudanganya nani kuwa serikali ikikopa riba inapungua? Ulishawahi kusikia habari za vulture funds ambazo Bob Geldof amekuwa anapigia kelele?
Hujui taratibu za financing; riba huendana na anticipated risk.
Usijae upepo, lakini hizo ni pumba tupu kwani inelekea hata hujui kuwa individuals wanaweza kufa lakini states haziwezi kufaUnajua credit rating ya Tanzania? Unajua tofauti kati ya credit na loan? Kwako wewe "ujuae" taratibu za financing risk ndio factor pekee? Na kwa akili yako unaamini risk ni kwa individuals tu na wala sio sovereign states?
Usijae upepo, lakini hizo ni pumba tupu kwani inelekea hata hujui kuwa individuals wanaweza kufa lakini states haziwezi kufa
Na ajue hizo benki ni wafanya biashara, wanatoa mikopo ya kibiashara, sio kama ile 'concessional loans' za WB na mashirika mengine; na wala sio 'Bilateral loans, baina ya nchi na nchi.Alikudanganya nani kuwa serikali ikikopa riba inapungua? Ulishawahi kusikia habari za vulture funds ambazo Bob Geldof amekuwa anapigia kelele?
LOoo, this is the height of ignorance.Usijae upepo, lakini hizo ni pumba tupu kwani inelekea hata hujui kuwa individuals wanaweza kufa lakini states haziwezi kufa