Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Njia ya Jangwani sasa hivi imefungwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Mabasi ya DART yanayotoa huduma kati ya Kuvukoni na Kimara; au Gerezani na Kimara yanatumia njia ya Kigogo kufika Kivukoni na Gerezani. Hiyo MIKOPO inamsaidia nani sasa iwapo miundo mbinu kama hii iko hoi
View attachment 1417251
Kwani serikali huwa inazuia mafuriko? Hapa ni Marekani nao walipata mafuriko yaliyowasumbua sana. Sijui kama mafuriko yanaweza kuwa political weapon. Ndivyo Mother Nature alivyo.