Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

Jibu lako linaonyesha upungufu mkubwa sana; yaani hata unaposoma huelewi unachosoma. Hapa umeweka nguvu kubwa sana kwenye hiyo mitihani ambayo sidhani kama uliwahi kuifanya; na iwapo uliwahi kujaribu wowote kati ya hiyo itakuwa ilikugonga sana ndiyo maana unapoisikia unapata kiwewe. Mtu mwenye akili kamili asingesoma post hiyo akatoka na GRE na GMAT hata kidogo kwani hiyo haikuwa subject ya post.
Wewe ulipoziweka zilikuwa 'subject 'ya topic?
Mbona unazidi kufunua mapungufu makubwa hata katika hayo unayodai unayajua.

Kiufupi mkuu 'Kichuguu', hadi hapa tulipofikia, tokea huko mwanzo, nimetambua nilikupa 'credit' ambazo ulikuwa hustahiri kabisa tokea nianze kukuona kwenye mtandao huu.

Baada ya kuandika haya, sina sababu zaidi za kuendelea kujibishana na wewe.
 
Kama hujui utabakia hujui. Ila Tatizo la mjinga ni kwamba peke yake ndiyo anajua kuwa siyo mjinga
Kwa hiyo wewe pekee ndio mwerevu. Je, vipi unaganga njaa humu JF?

Kama hujui utabakia hujui. Ila Tatizo la mjinga ni kwamba peke yake ndiyo anajua kuwa siyo mjinga

Wewe sio mjinga lakini huchoki kukesha humu JF? This is how low you've become an imbecile.
 
Kwa hiyo wewe pekee ndio mwerevu. Je, vipi unaganga njaa humu JF?

Wewe sio mjinga lakini huchoki kukesha humu JF? This is how low you've become an imbecile.
And you are an imbicile twat, bollocks. Kakojoe ulale si umeshaingiza buk 7
 
Wewe ulipoziweka zilikuwa 'subject 'ya topic?
Mbona unazidi kufunua mapungufu makubwa hata katika hayo unayodai unayajua.

Kiufupi mkuu 'Kichuguu', hadi hapa tulipofikia, tokea huko mwanzo, nimetambua nilikupa 'credit' ambazo ulikuwa hustahiri kabisa tokea nianze kukuona kwenye mtandao huu.

Baada ya kuandika haya, sina sababu zaidi za kuendelea kujibishana na wewe.
Hizo ni pumba tupu; kumbe wewe unasoma maneno badala ya kusoma information. Hiyo ni deep intellectual poverty ambayo hatuwezi kutoa msaada kukukwamua!
 
Hizo ni pumba tupu; kumbe wewe unasoma maneno badala ya kusoma information. Hiyo ni deep intellectual poverty ambayo hatuwezi kutoa msaada kukukwamua!
"...kusoma maneno badala ya kusoma 'information.'"

I simply overrated you for whatever reason!
 
"...kusoma maneno badala ya kusoma 'information.'"

I simply overrated you for whatever reason!
Your brain is too expensive to try to overate me; just don't do it. It needs about a million heads of your type to collect one kilogram of brain.
 
Your brain is too expensive to try to overate me; just don't do it. It needs about a million heads of your type to collect one kilogram of brain.
The first part of your sentence up to the comma got it right. Wonder what interfered with your thought process thereafter.

This could be how your brain processes information. Keeps deteriorating when tasked to think beyond one minute's period.

Could this explain your current decline in processing information..., due to old age; a case of Alzheimer disease, for example?
You better take care of yourself, go and see experts soonest. This is my honest advise to you.
 
Your brain is too expensive; agree? Many heads of your type must be opened to fill a kilogram of brain, OK? In each head you will just get a milligram of brain because most it is empty, OK? The cost of collecting such number of heads and the labor of opening them is what makes your brain expensive! Clear?
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango yatiliana saini makubaliano ya Mkopo wa Shilingi Trilioni 3.3 za kitanzania kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa reli ya Kisasa – SGR Daresalaam-Makutupora, Singida, katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam Februari, 13, 2020.

Mkataba huo ni kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa ambapo wabia wapatao 17 ikiwemo Serikali ya Denmark na Sweden kutoka Ulaya wakishirikiana na Benki ya ‘Standard Chartered’ ambaye ni mratibu wa mkopo huo wametoa mkopo wenye masharti nafuu kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kuanzia Morogoro – Makutupora mkoani Singida.

Kwa niaba ya Serikali Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani wameweka saini katika makubaliano hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yatasaidia kuongeza nguvu katika utekelezaji wa mradi huo uliofikia zaidi ya 25% kwa kipande cha Morogoro – Makutupora, Serikali ya Tanzania imesimamia mradi huo kwa fedha za ndani tangu kuanza kwake mwaka 2018.

Aidha Dkt. Mpango amesema kuwa Benki ya Standard Chartered na washirika wake wameonesha nia kuchangia katika Mradi mikubwa ya kimkakati kwa sababu tangu Serikali ilipotangaza kuyaomba mabenki ya ndani na nje ya nchi kujitokeza kuchangia katika miradi mikubwa yenye vipaumbele kwa taifa ili kufikia malengo ya taifa baadhi yao walikataa hivyo ameishukuru benki hii kwa kuratibu zoezi hili

“Mradi huu wa kujenga reli ya kisasa ni mradi ambao unakwenda kubadilisha maisha ya watanzania, hivi sasa tayari umewaajiri watanzania zaidi ya ya 14000, mradi huu unatumia baadhi ya malighafi na vifaa ambavyo vinazalishwa hapa nchini hususani saruji, mchanga lakini nguvu kazi ni vijana wetu”. alisema Dkt. Mpango.

Dkt. Mpango ameongeza kuwa deni la nchi yetu bado ni himilivu na ni lazima tukope kwa sababu reli hii tunawekeza takribani miaka 200 ijayo. Hii reli iliyopo (ya zamani) ina takribani miaka 100, hii ya kisasa itakaa zaidi ya miaka 200. Pia amesisitiza kuwa Serikali itasimamia fedha hizo kuhakikisha zinatumika kama ilivyopangwa.

“Mkopo huu tunachukua na tutaulipa miaka 20 kwa hiyo muda tunao, nawashukuru wabia hawa ambao wameunga mkono jitihada za Serikali za kubadilisha uchumi wa nchi kwa kutupatia mkopo huu wa Shilingi Trilioni 3.3”. alisema Dkt. Mpango

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani amesema kuwa zoezi la kuwekeana saini ya makubaliano ya mkopo kwa ajili ya mradi wa reli ya kisasa ni hatua kubwa hasa katika suala la uchumi pamoja na upande wa uwekezaji.

“Afrika inabaki kuwa kipaumbele kwa biashara yetu na wateja kwa ujumla, tunajivunia kutumia utaalamu wetu kusaidia serikali ya Tanzania na fedha zinazohitajika kwenye mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa wa SGR”. alisema Bw. Sanjay.

Naye Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndugu Masanja Kungu Kadogosa amesema kuwa kupatikanaji wa mkopo kwa ajili ya mradi huo, kutaongeza kasi ya ujenzi huo kwani mpaka sasa ujenzi kutoka Dar es Salaam mpaka mkoani Morogoro umefikia asilimia 73, hivyo mkopo huo utawezesha ujenzi wa reli hiyo kutoka mkoani Morogoro hadi Makutupora mkoani Singida.

View attachment 1356850View attachment 1356851View attachment 1356852View attachment 1356853

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani si tunajenga kwa Mpesa zetu wenyewe, pesa zs nchi yetu tajiri zimefanya ujenzi mpaka hatua gani tukaona tuongezee pesa zingine kwa mkopo?
 
Your brain is too expensive; agree? Many heads of your type must be opened to fill a kilogram of brain, OK? In each head you will just get a milligram of brain because most it is empty, OK? The cost of collecting such number of heads and the labor of opening them is what makes your brain expensive! Clear?
Unless you do not know the meaning of "expensive"!
 
Mwambie arudi tena kukopa huko alikoshidwa kurudisha mkopo uone kama watamkopesha tena.
Kwa hiyo sisi Tz ni warejeshaji wazur wa mikopo ndo maana tunakopesheka?? Au kwa vile dhamana zetu ndo wanazitolea macho.
Mkopeshaji ambaye ni mnyonyaji siku zote huwa haangalii uwezo wa kurudisha bali anaTarget ushindwe achukie dhaman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sisi Tz ni warejeshaji wazur wa mikopo ndo maana tunakopesheka?? Au kwa vile dhamana zetu ndo wanazitolea macho.
Mkopeshaji ambaye ni mnyonyaji siku zote huwa haangalii uwezo wa kurudisha bali anaTarget ushindwe achukie dhaman.

Sent using Jamii Forums mobile app
Madeni ya Tanzania yako chini ya 50% ya uchumi wetu na kama tukichapa kazi yanalipika. Kuna nchi ziko hoi kwasababu madeni yao yako karibu sawa au yamepita uchumi wao. Kama wakilipa, basi watabaki bila pesa ya kulipia hudumia nyingine.
 
Kwa hiyo fedha zetu za ndani zitakuwa zinafanya kazi gani? Kama tunakopa?
Au ndiyo tuseme dona kantri tutaanza kusaidia mabeberu?

Mie mnanichanganyana...'tunajenga reli kwa fedha zetu za ndani'....za mkopo??[emoji3166]

Everyday is Saturday..
Ukikopa si unalipa mwenyewe na hela zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madeni ya Tanzania yako chini ya 50% ya uchumi wetu na kama tukichapa kazi yanalipika. Kuna nchi ziko hoi kwasababu madeni yao yako karibu sawa au yamepita uchumi wao. Kama wakilipa, basi watabaki bila pesa ya kulipia hudumia nyingine.
Sawa nimukupata.! Japo sina data vzr kipato chetu na madeni tuliyonayo tangu Mkapa mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom