Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

Kwa hiyo fedha zetu za ndani zitakuwa zinafanya kazi gani? Kama tunakopa?
Au ndiyo tuseme dona kantri tutaanza kusaidia mabeberu?

Mie mnanichanganyana...'tunajenga reli kwa fedha zetu za ndani'....za mkopo??🧐

Everyday is Saturday..
 
3.3 Trillion kwa miaka 20.. hata kama interest in 30% kwa mwaka hiyo aisee ni mahela mengi saana.

Tatizo hatuna mipango enderevu kama Taifa, kwa katiba hii tunaweza kupata Rais mwingine toka CCM yeye akasema Reli si priority yake..akasema anarudi kwenye barabara na Richmond na ile sijui stagila goji haitaki tena sababu inaharibu mazingira...tunarudi sifuri ila deni lipo palepale.

Ili tuendelee kama Taifa tunahitaji katiba mpya!! Vinginevyo haya ni maigizo.
 
sasa kujimwambafy na pesa za ndani ina maama mmelogwa?
 
Tusubirie misallocation ya fund hizi kama kawaida.. World Bank na AfDB ni wanalolakujifunza.
 
Good. Hiyo ni mikopo ya miradi ya maendeleo, kuna kipindi serikali ilikuwa inakopa kwa matumizi ya kawaida(admin) na wapiga zumari walikuwa kimyaa.

Mtu mwenye moyo na nia ya maendeleo lazima akope, hasa kama ana usimamizi mzuri kama wa mzee baba, mradi ni viable na ana uwezo wa kulipa.
Sasa kwanini tunaambiwa tunajenga kwa fedha zetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kununua ndege cash, tungeingiza hizo kwenye ujenzi wa SGR.
 
Wakati wanadai wanakubalika kwa 99%?
Hapo kama 1t hivi inakwenda kwenye kampeni za chama. Huu ni mwaka wa uchaguzi na vyuma vinejaza hadi vyamani!


Sent from my iPhone using JamiiForums

In God we Trust
 
Wewe uliyopo kwenye siasa za CCM mbona upo mweupe kichwani na huna tofauti na kina Jinga lao na Kipara Kipya?
Mbona unajishushia hadhi, naona umeingia kwenye mkumbo wa siasa za Chadema.

In God we Trust
 
Nchi hii ni tajiri tunajenga kwa fedha zetu za ndani. Raisi ajaye atapata tabu ya kubebeshwa mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya mwendawazimu mmoja
 
Siyo partner wangu bali ni lumumba mwenzako siku hizi kapata udc hivyo unafaidi kuipigania ccm

In God we Trust
Nasikia lile basi alilozawadiwa Lisu kule ubelgiji tayari limeshawasili bandarini. Fanyeni hima mkaligomboe.
 
Back
Top Bottom