Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

long live my love, Lakini kingne inaonesha kuwa taarifa umeisikia vizuri Mkuu, je maneno Ya mbatia umeyasikia na Kama wewe ni mbombezi umeelewa kuwa mbatia kaishachukua mpunga Kwa ajiri ya kuwavuruga wenzake kwenye Uchaguzi Mkuu yani tiyari James mbatia ameishalipwa mpunga, wale waliocheza na lipumba Kwa sasa wameishacheza mchezo na mbatia, wenzake mbatia wawe makini na hilo

Hivyo Mkuu matumizi ndio Kama hayo, unadhani Kama mbatia amekula hela zitatoka wapi? Humo humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
February 5, 2020
Kilosa, Tanzania

Wahandisi : SGR kuchukua miaka 15 kuikamilisha na Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko

Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia reli ya mkoloni kwa miaka zaidi ya 10 ijayo.




Pia Reli mpya ya SGR itachukua takriban miaka 15 kumalizwa kujengwa hilo limebainishwa ktk eneo la reli ya kati lililokumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida wakati jopo la wahandisi na mkurugenzi mkuu walipokuwa wanajadili athari za mafuriko na changamoto za reli ya mkoloni na reli mpya ya SGR.

TRC inapoteza zaidi ya milioni 100 kwa siku kutokana na kusitisha safari reli ya kati. Na ili kukabiliana na mafuriko inabidi reli ya kati ihamishiwe mlimani na mlima huo unahitaji kuchongwa pia .

Uharibifu ktk eneo la mto Mkondoa ni mkubwa sana na ingawa eneo hilo la Gulwe Kilosa hakuna mvua lakini mvua kubwa zinazonyesha mikoa ya Iringa na Dodoma inaingiza kiasi kikubwa cha maji mto Mkondoa.

Source: TRC Reli TV
 
February 13, 2020
Dodoma, Tanzania

SERIKALI YAKOPA TRILIONI 3.3 KUENDELEZA UJENZI WA RELI



SERIKALI imetia saini mkopo wa zaidi ya shilingi Trilioni Tatu kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa reli ya kisasa katika kipande cha pili kutoka Morogoro hadi Makutupora Singida. Waziri wa Fedha Dr. Philip Mpango anahojiwa na anafafanua hali ya uchumi na kiwango cha uhimilivu wa madeni kama nchi....wakati akijibu maswali ya mwandishi wa habari.

Dr. Mpango asema ktk Afrika hakuna nchi au mfadhili / mdau wa maendeleo aliyejitosa kuchukua au kukopesha kiwango kikubwa cha mikopo aina hii...Dola za Kimarekani 1.1 Bilioni kwa kipande cha reli Dodoma Makutupora...

Source: Global TV online
 
Mbona unajishushia hadhi, naona umeingia kwenye mkumbo wa siasa za Chadema.

..kivipi?

..serikali ilisema tunawadai Accacia / Barrick 191 billion.

..hizo fedha zinaweza kufanya mambo mengi sana ya MAENDELEO.

..baada ya MADAI [ usd 191 billion] hayo ya serikali nilitegemea JUHUDI zifanyike kuhakikisha TUNALIPWA, badala yake naona nguvu zimeelekezwa kwenye KUKOPA.
 
Back
Top Bottom