Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

Katibu mkuu wizara ya fedha anaweza kukupa hili jibu, madeni yana kokpwa mengine yanalipwa. Chamsingi ni kutoka 2015 leo kuna Kilomita ngapi za barabara?, kuna mahospitali mangapi yamejengwa?, kuna visima vingapi vya maji au hata wanachi wangapi wamefungiwa umeme?
Hatukuelewi una mana gan ni kwamba huamini kama hivyo vimefanyika kwa hela yetu ya ndan au vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WEWE KWELI KILAZA....HATA HUJUI UNACHO KIONGEA. KWENYE MIKOPO KUNA KITU KINAITWA ARP % KWA MFANO UNAWEZA KUPATA MKOPO WA 1 MILLION $ THEN ARP % IKAZIDI HIYO 1 MILLION $ ULIYOKOPA.
WASHAMBA NI WENGI KWA KWELI
Haha, huu sio mkopo kama ule unokopa kununua furniture dukani. Interest rate is manageable and fixed, tuna miaka 20 kulipa huu mkopo. Na nani atakukopesha kama hana uhakika na hali yako ya kiuchumi? Banks are not that reckless.
 
Naomba kuchangia.

Kwanza naomba nitangaze wazi kwamba mradi huu ni mzuri ila umetekelezwa na wakurupukaji.

Jk alisha saini mkataba na china kwa tr 16 kujenga km 2000 dar hadi kigoma na matawi yake yote.

Huyu bwana amekuja hadi sasa tumesha tumia zaidi ya tr 16 mradi hata moro haujafika.

Watasingizia kwamba hii reli itakayo tumia umeme.

Matatizo

1. Tenda haikutangazwa, ujenzi ulianza baada tuu ya Rais wa uturuki kukutana na Meko

2..Hakukuwa na ushindani wa upatikanaji wa mkandarasi, hivyo gharama hakikuwa kigezo cha mradi.

3. Maamuzi yote kutoka malogs.

Ukiangalia miradi mingi kwa sasa inasusua sana kwa sababu sasa pesa za wizi zimeisha.

Tutaona mengi kabla ya valentine.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Titicomb,
kuna Mtanzania yupo Rumande, anaitwa Rugemalila, kawataja Standard Chattered walihusika na pesa za PAP na wanawajua viongozi waliowapa na Kodi mpaka leo hajalipa, hivyo mwendesha Mashtaka apokee utetezi /upelelezi huo.

kwa hiyo jibu hapo ni Faida, Hakuna masharti ya kisiasa (la sivyo watasukumwa katika Kesi)
over
 
Mpaka reli ikifika DRC Congo, tutakuwa hoi. Serikali ya awamu ya sita na saba watapata tabu sana.

NB: Faida ya reli ya SGR ni mpaka reli ifike DRC Congo.
 
[QUOTE="Tabutupu,

Ukiangalia miradi mingi kwa sasa inasusua sana kwa sababu sasa pesa za wizi zimeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Fafanua kidogo kwenye maandishi bold.
Fedha za wizi upi?
 
Back
Top Bottom