Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

No ni kwasababu wanakopesha mikopo ya dola, ambapo unakuta cost of funding kwa dola ni kama 2.5% kwa mwaka kwa sasa hivi, so hapo kama wanatupa kwa asilimia 12% ina maana wenyewe wanatengeneza pesa nzuri sanaaa.

Kuna margin karibu 9% watakuwa wanatengeneza ambayo kwa huo mkopo ni pesa nying sana
Ufafanuzi tafadhari kuhusu cost of funding
 
Ufafanuzi tafadhari kuhusu cost of funding
Cost of funding ni kama vile useme gharama za benki kupata fedha. Ujue na mebenki nayo yanapata pesa kwa kukopa. Wao wanakopa halafu wakishapata na wao wanakopesha.

Sasa kitaalamu hizi gharama za kukopa dola huwa zinaamuliwa na mwenye dola yake ambaye ni USA. Kwa sasa gharama ya kukopa dola ipo kama 2.5% kwa mda wa miezi 12 ijayo kulingana na soko la London.

Sasa kwa Stan Chart wao kwa sasa wanapata dola kwa gharama ya 2.5% kwa mwaka na wameamua kutukopesha kwa 12% ina maana utaona ni kiasi gani inavokuwa hapo. Unanunua kwa 2.5% halafu unauza kwa 12% Simple
 
Why? Tubishane kwa hoja mkuu, usidhani kwamba wewe kukaa kwako kimya bila kupinga kunakufanya uwe Mtanzania zaidi yangu.

Sana sana hata wenye akili watakuona wewe kiazi a.k.a mwehu. Unawezaje tu kupinga bila kutoa hoja?.. Utakuwa wewe umetokana na kizazi cha laana

We unadhani kila anayepinga ni CHADEMA. Aisee wewe ni kipofu wa akili...
 
Aisee nimekukubali mkuu kumbe wanafaidika sana kiasi cha wakikosa watu wanaotaka mikopo wanafunga biashara fasta
Hahahahaaa.. mabenki ni kama biashara nyingine, wakikosa wateja ni wazi kweli watafunga. Lakini pia kwa upande mngine mabenki ya ukubwa wa Standard Chartered ni mabenki ambayo yameshajichimbia mizizi katika ulimwengu wa fedha.

Na yana uzoefu wa muda mrefu. Kulingana na jinzi uchumi wa nchi yoyote unavokwenda ni ngumu sana kutokuhitaji benki, ikiwa na maana pia ni ngumu kwa benki kukosa wateja wa kuwakopesha. Wateja sikuzote watakuwepo as long as shughuli za uchumi bado zipo.

Labda itokee msukusuko wa kiuchumi ndo huwa tunashuhudia benki mpaka zikifa maana shughuli za uchumi na makampuni ya biashara pia hufa na hivo inakuwa ngumu kwa benki ku operate tena
 
Bonge la faida

In God we Trust
Sanaaaa, hakuna biashara yenye hela kama Biashar ya benki. Ukitoka hapo unakuja biashara ya Insurance.. aisee hizi biashara za ku download hela. kuna ukweli mwingi sana hapa labda tutakuja ku discuss kwenye nyingine
 
Ni kukopa kwa kwenda mbele!!!

Ila hiyo hela isije tumika kwenye kampeni za chama fulani baadae mwaka huu maana watu wenyewe hawaaminiki.
Hapo kama 1t hivi inakwenda kwenye kampeni za chama. Huu ni mwaka wa uchaguzi na vyuma vinejaza hadi vyamani!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom