Hoja gani?jibu hoja wacha taarabu za Tandale CCM!!
Inaenda kwenye miradi mingine ya maendeleo.Na kodi tunazolipa pesa inayobaki baada ya kulipa mishahara inaenda wapi?
Hata kukopa ni fedha yetu wenyewe maana deni sio msaada, utatoa pesa mfukoni kulilipa.Hivyo vyote tunaambiwa tunafanya kwa fedha zetu wenyewe
In God we Trust
ubaya wake ni hela za mabeberuKuna ubaya gani?
Ni sawa tutalipa kwa kodi za watz. Lakini zitakazotumika kujenga hiyo reli siyo za ndani ni mkopo. Kwa hiyo huwezi kusema tunajenga kwa fedha zetu kwa sasa wakati hatuna hizo pesa. na ndiyo maana tumekopa.Kwani huelewi nini? Huo mkopo tutaulipa kwa pesa zetu za ndani.
Dah!..haya madeni kutoka hizi taasisi za kibeberu yakikulemea lazima usalimu amri kwao.Watanzania wasubiri kuolewa na wazungu baada ya kushindwa kulipa madeni
QuadrillionMkuu hebu nisaidie,ktk mahesabu ya pesa tuna,elfu,laki,million,billion,trillion,baada ya hapo inafuata nin
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana mataga, naona sasa mmekuwa kama gunia la pambaHata kukopa ni fedha yetu wenyewe maana deni sio msaada, utatoa pesa mfukoni kulilipa.
kigamboni prezidaa kaagiza mkuu wilaya ajenge ofisi ya ccm kwa kodi zetu
Ni kuwa hiyo interest ya 12% inalipwa kuamzia mwaka wa kwanza. Sasa baada ya miaka.20 ndio mkopo unaanza kurudishwa na interest bado inaendelea kwa kiasi ambacho hakijalipwa. Kama sijakosea. Kwa miaka 20 inalipwa interest ya 4.8 tr. Halafu mkopo unanza kurudishwa.Hivi hizi bank za biashara huwa zinanufaikaje kukopesha matrion yote hayo kwa just 12% kwa miaka 20 au huwa wanapata upendeleo fulani kutoka serikalini kwa sababu ya hiyo mikopo