Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Huna lolote wewe. Kitonsa alishakufa zamani tu, kwani hujui?ndio mimi nipo ilala mkuu,nauza ila kizee zee ,,unataka?
Huna lolote wewe. Kitonsa alishakufa zamani tu, kwani hujui?ndio mimi nipo ilala mkuu,nauza ila kizee zee ,,unataka?
Yes,correct. Achilia mbali huo usemi,haya watu tuko juu ya mawe. Hiyo miradi itatusaidia ili na sisi tuishi kama wenzetu?Tunaaminishwa kwamba tunatumia fedha zetu wenyewe.....
unajua mi na kitonsa tupoje?Huna lolote wewe. Kitonsa alishakufa zamani tu, kwani hujui?
Umeiba jina la Kitonsa wa Livingstone.unajua mi na kitonsa tupoje?
Yule sio mtu wa kumuamini
Kwa hiyo?
Enzi za ujana wangu miaka ya sabini nilikuwa nanunua puli (bange) kwa Kitonsa. Unamfahamu?
Kuna watakaofurahia sana kuolewa maana kutwa ni kiguu na njia kwenda kushitaki huko.Watanzania wasubiri kuolewa na wazungu baada ya kushindwa kulipa madeni
Hakuna hoja katika hii mada.
Hatupaswi kukopa kwa mabeberu
Tukope tukarabati jengo letu la ufipa.
naona kitu cha mwanakitonsa bado kime exists kichwani mwako..Umeiba jina la Kitonsa wa Livingstone.
Sijui.