paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,504
Heshima kwako mkuu!!Mkuu 'Paul Sylvester', hata sielewi unachozungumzia hapa, licha ya kwamba hujui majibishano kati yangu na huyo uliyeko upande wake yalianzia wapi na lini. Wewe umejipachika tu humu na kuwaleta wasiokuwemo kabisa katika jambo hili.
Kiufupi ngoja niachie hapo.