bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Mi naomba kuwauliza nyie Tanzania Raiways Corp
Hv kwanini gharama za kusafirisha mizigo kupitia reli/shirika lenu ni kubwa mno mpaka muda mwingine mnazidi hadi njia ya barabara???
Tafadhali naomba ufafanuzi wa gharama zenu za kusafurisha mizigo toja Pwani kwenda bara na bara kwenda pwani kwa Kg mnacharge kiasi gani?Kama kuna maelezo ya ziada kwa ufafanuzi zaidi wekeni pia.
Sent using Jamii Forums mobile app