Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 

Attachments

  • IMG-20200508-WA0013.jpg
    43.4 KB · Views: 2
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani kwa vile kuna dawa malaria za malaria basi watu hawaumwi malaria....wanaumwa na wanaweza kufa...

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Sasa wanakunywa kabisa inamaana wanakorona au....

Au itabidi kila mtu anywe maana hatujui nani mgonjwa nani mzima maana vipimo vyenyewe vinatiliwa mashaka.

Hata sijaelewa.
Ni hivi , 95% ya viongozi wa ccm ni tia maji tia maji
 
Hahaha...hii dozi naona itatosha watu walio kwenye makazi ya mzee pale burigi, sisi tulio huku pembeni nyambitilwa sijui itakuwaje.....anyway, kuweni makini kutupa nyungu zenu hiyo ya madagasca mnaweza kuishia kuisoma tu kwenye media....
 
Nakiona kikombe cha Babu wa Loliondo kikirudi tena kwa sababu ya kupenda mambo ya bure, na hata pia kwa kukwepa kugharamia mambo ya msingi. Tulianza maombi, kisha kupiga nyungu sasa msaada wa kutoka Madagascar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka kumwomba Mungu wa mbingu na nchi hadi Mungu wa Madagascar.
 
Kama hatukujifunza kwa Babu wa Loliondo ndio basi tena, kizazi kimeangamia hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…