Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Ndu.guy mwenyewe lazima amuombe ummy kabox kamoja, chato vibox vi2, waheshimiwa wala posho mjengoni vibox 5 kwa pamoja...wakuu wa mikoa, wilaya, wenyevt wa ccm mikoa, wilaya, makatibu wao, akina mzee Mangula, Polepole...viongozi wastaafu
mpaka hapo vibox vimekata!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mmea upo Bongo nimeusahau kidogo jina lake watu wa huku Arusha huwa wanautumia kama kiungo cha kuongeza fleva kwenye mboga isipokuwa hawatatuelekeza full contents zake.
Si unajua sisi wabongo ni wazee wa kucopy and paste.
Inaonekana dawa inafanya kazi kwa ufanisi wa asilimia kadhaa na hii imekuwa proved baada ya case za wagonjwa kupungua Madagascar


Je huu mmea hau-exist Tz ili tuanze kufanya production kwaajili ya ujenzi wa taifa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baadhi ya wachangiaji sijawaelewa kabisa
mzungu ametuweza sana sisi wa africa yaani kuaminiana wenyewe kwa wenyewe ni kama haiwezekani kabisa
dawa imepatikana angalau ya kuonyesha njia watu wanabeza
wanataka dawa mpaka itangazwe na WHO hahahaaaa
midawa yenyewe unakuta ni midonge/misindano inayoambatana na ma hallucination ya kutosha
Hapana mkuu angalia id za wanaobeza wengi ni wale waliokuwa wanazungusha mikono wakiimba "mabadiliko" 2015
 
Nina maswali moyoni majibu sina;
Kwanza tuliambiwa dawa inatibu Corona lakini Jana tumeambiwa inafubaza hii inamaanza gani?

Sio kwamba hawa jamaa wanatuchezesha kama babu wa kikombe ilo mradi wapate pesa za kupigana na Gonjwa Corona??? Inamaana sisi tunapunguza bajeti zetu za kupambana na tatizo tunawaongezea wao.!!!! Kwanini Tanzania haipendi maarifa?

#Chukua tahadhari zote muhimu, Corona inaua#
 
Hujasikia kuwa ni msaada?

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Ngoja kwanza mzigo uingie usambazwe mahospitalini Amana, Mwananyamala na Mloganzira kisha ndio madaktali watatupa jibu kama kweli ni dawa su tumepigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni swali tu nimeuliza wataalam wataeleza, waagizaji wa dawa huko uturuki na India wakifika huko wana onja kabla ya kununua? Wanaonja paracetamol? Wanaonja kwinini? Ni swali tu naomba mnisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku nikisema hapa kuwa viongozi wa kiafrika ni vichaa huwa hamunielewi!
 
Kongole kwa serikali yetu Rais wetu na balozi wetu huko Madagascar kwa kutuwakilisha vyema mpaka kutuletea dawa tajwa ya kupambana na Corona.

Ikiwa inatibu na wataalam kujiridhisha basi ndege zetu zote zitaelekea huko na kurudi na shehena, uthibitisho wa hao WHO utakuja baaday
 
Back
Top Bottom