Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Aisee ni maajabu, yupo wapo live itv anasema wataalam wataifanyia kwanza utafiti kabla ya matumizi wakati huo yeye jana alionekana akiibugia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa isipothibitishwa na WHO inakuwa sio dawa?

Kweli ukoloni umenata kwenye akili yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu WHO ni baba zako ifike hatua mjitambue na kujitegemea
Walishakuposa hao WHO
Kumbe pinga pinga huwa mnaangalia channel ya TBC
Tutaifanyia utafiti kwanza kabla ya kuibugia!
_20200509_100956.JPG
 
Namsikiliza hapa Waziri Kabudi anasema walifuata dawa madagascar wafanyie utafiti kwanza kabla ya matumizi.

My take;

Tanzania tumechukua majukumu ya WHO ? kwanini Madascar wasingepeleka wenyewe kwanza hiyo dawa ipitishwe na WHO.

Lakini jana Kabudi kaonekana akibugia dawa hadharani bila hata ya huo utafiti anaousema...
Labda ndiyo utafiti wenyewe.

Wamechoma mafuta ya ndege kipumbavu!
Hakika hawa ni wabumbavu OG.
 
Namsikiliza hapa Waziri Kabudi anasema walifuata dawa madagascar wafanyie utafiti kwanza kabla ya matumizi.

My take;

Tanzania tumechukua majukumu ya WHO ? kwanini Madascar wasingepeleka wenyewe kwanza hiyo dawa ipitishwe na WHO.

Lakini jana Kabudi kaonekana akibugia dawa hadharani bila hata ya huo utafiti anaousema...
Mjinga kabisa ww.....endelea kuwasubiri hao who

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom