mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Kipi bora ?Utakuta wanagawana hayo madude wao wenyewe, mpaka yafike kwa walala hoi maboksi mawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi bora ?Utakuta wanagawana hayo madude wao wenyewe, mpaka yafike kwa walala hoi maboksi mawili
Hapo box moja lishaenda Chattle, moja lipo kwa Bashite. Mpaka wakimaliza kugawana hakuna kitachomfikia mlalahoi wa mwisho.Wewe pamoja na makelele yako hutoonja hata dawa moja. Watakuacha ufe kibudu
Hivi hao WHO ni wazazi wako?Namsikiliza hapa Waziri Kabudi anasema walifuata dawa madagascar wafanyie utafiti kwanza kabla ya matumizi.
My take;
Tanzania tumechukua majukumu ya WHO ? kwanini Madascar wasingepeleka wenyewe kwanza hiyo dawa ipitishwe na WHO.
Lakini jana Kabudi kaonekana akibugia dawa hadharani bila hata ya huo utafiti anaousema...
Wapeleke at least mox kumi kwenye mahospital mfano mliganzila,Amana etc,dawa hiyo wapewe wale walioambukizwa serious kitandani ili tupate uhakika hii Ni dawa kweli au siyoHapo box moja lishaenda Chattle, moja lipo kwa Bashite. Mpaka wakimaliza kugawana hakuna kitachomfikia mlalahoi wa mwisho.
Utafiti gani na kwa uwezo upi wa kufanya utafiti...Namsikiliza hapa Waziri Kabudi anasema walifuata dawa madagascar wafanyie utafiti kwanza kabla ya matumizi.
My take;
Tanzania tumechukua majukumu ya WHO ? kwanini Madascar wasingepeleka wenyewe kwanza hiyo dawa ipitishwe na WHO.
Lakini jana Kabudi kaonekana akibugia dawa hadharani bila hata ya huo utafiti anaousema...
Sawa nyie endeleeni na maigizo yenuDawa isipothibitishwa na WHO inakuwa sio dawa?
Kweli ukoloni umenata kwenye akili yako!
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona matusi mkuu? kuna mahali nimekutusi?Pumbavu WHO ni baba zako ifike hatua mjitambue na kujitegemea
Kumbe pinga pinga huwa mnaangalia channel ya TBCNamsikiliza hapa Waziri Kabudi anasema walifuata dawa madagascar wafanyie utafiti kwanza kabla ya matumizi.