Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Kabudi kasema yeye kainywa ili kuonyesha shukrani kwa alietoa msaada. Halafu kasema dawa iliyoletwa ni kwa ajili ya utafiti kwanza na sio kugawa kwa wananchi maana kama ingekuwa ni ya kugawa kwa wananchi takribani milioni 50 angeenda na airbus au dreamliner ili iletwe ya kutosha.
 
Mark my words ...Kuna mtu anatumbuliwa hapa,
Haiwezekani Mamlaka ya Rais ichezewe hivi...Rais alisema dawa imepatikana ,wao wanakuja na Tani ya dawa wanasema wameleta Kuifanyia utafiti 😀 😧😃😀
 
 
Nadhani hii dawa ukinywa nusu na nusu kujifukiza itakuwa na double impact. Desperate times desperate measures.
 
Utakunywaje dawa afu bado uendelee kuvaa balakoa
 
Kama mtu alikunywa kikombe cha babu na bado hakupona. Hata kwenye hii hatopona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…