Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Eti msaada, wanauza wenzenu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GTs,
Kwa hakika nchi yetu kwa kipindi hiki imekuwa na maadui wengi, hasa wanaotuonea wivu kwa msimamo wa rais wetu, utajili wetu na amani tuliyonayo. Majirani zetu wanatamani tufe wengi.

Sasa nimeona zile dawa za madagascar, waziri anakunywa.

Je zimehakikiwa ni salama na vyombo vyetu vya husika????

Kama havijahakikiwa nashauri tusitumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…