Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Subiriaa mchupaaa toka madascar

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeanza kupingana na mawazo ya mwenyekiti wenu

In God we Trust
 
Haitafua dafu,ni sawa tu na kikombe cha babu wa Loliondo!
Kwa kweli awamu hii wamelitia aibu Taifa ....... Aibu hii itachukua miaka na miaka kuisafisha!!

Mzee Mwanakijiji, lini utaleta utetezi wako? Jamaa yako inaonyesha kabisa hana leadership skills. Ameshindwa kuhudhuria kikao cha EAC na kashindwa kuitisha crisis meeting ya SADC hata kuhudhuria pia......!!
 
baadhi ya wachangiaji sijawaelewa kabisa
mzungu ametuweza sana sisi wa africa yaani kuaminiana wenyewe kwa wenyewe ni kama haiwezekani kabisa
dawa imepatikana angalau ya kuonyesha njia watu wanabeza
wanataka dawa mpaka itangazwe na WHO hahahaaaa
midawa yenyewe unakuta ni midonge/misindano inayoambatana na ma hallucination ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…