baadhi ya wachangiaji sijawaelewa kabisa
mzungu ametuweza sana sisi wa africa yaani kuaminiana wenyewe kwa wenyewe ni kama haiwezekani kabisa
dawa imepatikana angalau ya kuonyesha njia watu wanabeza
wanataka dawa mpaka itangazwe na WHO hahahaaaa
midawa yenyewe unakuta ni midonge/misindano inayoambatana na ma hallucination ya kutosha
Yaaani ndege imeunguza mafuta kwenda kubeba katoni 13 .........!!?
Taifa la kipumbavu huchagua kiongozi mpumbavu!Kwa kweli awamu hii wamelitia aibu Taifa ....... Aibu hii itachukua miaka na miaka kuisafisha!!
Mzee Mwanakijiji, lini utaleta utetezi wako? Jamaa yako inaonyesha kabisa hana leadership skills. Ameshindwa kuhudhuria kikao cha EAC na kashindwa kuitisha crisis meeting ya SADC hata kuhudhuria pia......!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama itapelekwa Hospitalini madaktari ndo watakaoprescribe na dozi wataelekezwa na watu wa madagascar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea jiwe ambaye alifunga safari siku kadhaa akaenda kupanga foleni loliondo kupata kikombe cha babu, huyu mzee unaweza muaminisha kinyesi kinatibu akasema kila mtu aleTanzania inatafuta shortcut ya kutatua matatizo ya msingi, hivi Serikali inafikiri nchi nyingine ni wajinga kuendelea kupima watu wake na kuchukua hatua ngumu dhidi ya Covid19 na badala yake na wao waagize dawa kutoka Madagascar?
Madagascar ni Ndugu zetu
Dawa za kuhofia ni kutoka kwa Mabeberu
sijajua ila kupatikana kwa dawa haimaanishi kuwa wagonjwa hawatapatikana/kuisha wote kwa pamoja
Hehehe tatizo ni akili yako finyu, dawa sio lazima iletwe na wazungu, swala ni mbona dawa haina proof, yaani hana proof hata moja kua inatubu anasema tumuamini tu kua inatibu huku ye mwenyewe nchi yake ipo kwenye lockdown hadi leo. Unadhani hao wazungu unaowachukia wangepata dawa leo hii wangekua kwenye lockdown? Watu hua sijui akili mnaweka wapi. Bila shaka na wewe unaamini kikombe cha loliondobaadhi ya wachangiaji sijawaelewa kabisa
mzungu ametuweza sana sisi wa africa yaani kuaminiana wenyewe kwa wenyewe ni kama haiwezekani kabisa
dawa imepatikana angalau ya kuonyesha njia watu wanabeza
wanataka dawa mpaka itangazwe na WHO hahahaaaa
midawa yenyewe unakuta ni midonge/misindano inayoambatana na ma hallucination ya kutosha
Nyungu part twoKwann wamevaa barakoa na boksi za dawa wanazo hapo[emoji23]View attachment 1443834
Sent using Jamii Forums mobile app