Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Kikombe cha babu kishatinga town...

(Stay home, COVID haina dawa wala chanjo)
 
Pichani ni wagonjwa wa awali waliobahatika kuitumia , hongera sana .
 
ni salama....Specificity vs Sensitivity, Reliability vs Validity .... ziko powa
 
Tatizo naliona watu hataachia kabisa kuvaa barakoa kwa kuamini kwamba COVID imepata dawa..maskini!!
 
Sasa wanakunywa kabisa inamaana wanakorona au....

Au itabidi kila mtu anywe maana hatujui nani mgonjwa nani mzima maana vipimo vyenyewe vinatiliwa mashaka.

Hata sijaelewa.
 
Sasa dawa ya Nini wakati hakuna wagonjwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…