Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
hivi ni msaada kumbe au tumenunua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante awamu ya tano kwa kuwajali Watanzania
Asante Rais Magufuli kwa kuwajali Watanzania
ni kawaida kaka labda wataomba na kibali cha kutengeneza kama mitishamba ipo huku hizo ni kama sample ina uwezekano kabisa hata ingeenda ndege na madaktari watano na watu wa maabara tuuMaboksi 13 ndiyo ndege ya Raisi imeenda kuchukua huku mpokeaji akishukuru sana
wagonjwa wako 400 tu! Kila box lina chupa 100Maboksi 13 ndiyo ndege ya Raisi imeenda kuchukua huku mpokeaji akishukuru sana
🤣🤣🤣🤣🤣 fala wwNaona Kabudi anakula funda moja la nguvu. Utasikia "aaah nilikuwa nife"..Kumbe Jiwe katuma mgonjwa hahahaaaaa
View attachment 1443824
Acha wagawane wao wenyewe iwe sehemu ya majaribio.!
Pichani ni wagonjwa wa awali waliobahatika kuitumia , hongera sana .Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.
Matokeo yake katumwa Kabudi.ni kawaida kaka labda wataomba na kibali cha kutengeneza kama mitishamba ipo huku hizo ni kama sample ina uwezekano kabisa hata ingeenda ndege na madaktari watano na watu wa maabara tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba Kwanza huyo aliyeupokea ajiambukize COVID-19 Kimakusudi kisha aitumie hiyo Dawa na tupate Mrejesho wake.
HAPo unaona kuna dawa ngapi? Yani wewe ni kibuyu ujueKwanini
Sasa dawa ya Nini wakati hakuna wagonjwa!Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.
Acha wagawane wao wenyewe iwe sehemu ya majaribio.!