Maboksi 13 ndiyo ndege ya Raisi imeenda kuchukua huku mpokeaji akishukuru sana
Case zinaongezeka ila vifo ndio hamna kwa mjibu, wakati wanatangaza dawa walikuwa na wagonjwa 35 sasa hivi wanakaribia 140.Inaonekana dawa inafanya kazi kwa ufanisi wa asilimia kadhaa na hii imekuwa proved baada ya case za wagonjwa kupungua Madagascar
Je huu mmea hau-exist Tz ili tuanze kufanya production kwaajili ya ujenzi wa taifa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa boksi 13?
Sasa wanakunywa kabisa inamaana wanakorona au....
Au itabidi kila mtu anywe maana hatujui nani mgonjwa nani mzima maana vipimo vyenyewe vinatiliwa mashaka.
Hata sijaelewa.
TBS wataanzaje kumpinga daktari mkuu wa taifa John Pombe Magufuli? Wataitwa vibaraka wa mabeberu watumbuliwe wote na maabara iwekwe lockdown!Kabudi Ye anaumwa kwani na Kama TBS wakija kuthibitisha ni Sumu na Kashakunywa itakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na familia yangu hatutatumia hiyo dawa yenuUtakuta wanagawana hayo madude wao wenyewe, mpaka yafike kwa walala hoi maboksi mawili
Nasikia ana PHDHahahaaaaa uwiii Magu jmni kama ze comedy show
Na nchi imewekwa lockdown vilevile.Case zinaongezeka ila vifo ndio hamna kwa mjibu, wakati wanatangaza dawa walikuwa na wagonjwa 35 sasa hivi wanakaribia 140.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Matokeo yake katumwa Kabudi.
Akifa utaona Rais anasema "Alikua mtiifu kila nilichomtuma"
Umeambia ni chanjo au dawa? Dawa anapewa mhonjwa na cyo kila mtanzaniazitatutosha hizo ? au kila mtanzania tone moja