Wewe wasema. Tembeeni Tanzania Hali ni ngumu. Shida mtu akiwa na kamilioni tano kwenye akaunti anajiona tajiri.Za kuambiwa changanya na zako..hatuna umasikini huo wanaousema
Ni kweli Tanzania maskini wengi.Hapo wameangalia idadi ya watu. Inawezekana nchi zingine ni masikini sana ila zikawa na population ndogo. Mfano somalia inakadiriwa kuwa na watu 20.5M. Hao wote wakiwa masikini haijazidi idadi ya watu masikini kwa Tanzania ambao ni 23.9M. Kwahiyo bado Tanzania itahesabika kuwa na idadi kunwa ya watu masikini
Wameangalia idadi ya watu. Sasa sisi tunakaribia watu milioni 70 hatuwezi kulingana na Burundi. Ndio maana Nigeria ni ya kwanza na Ina uchumi mzuri kuliko Tanzania.hawa watu wamezingatia vigezo gani maana kuna nchi zipo kama kuzimu sudan kusini, Eritrea, burundi, malawi gaza na nyingine nyingi zina hali tete sana
Nani alisema hivyo?. Utajiri hauna dini.Humo kwenye hiyo data hao maskini ni sisi tu waislamu au na makafir wamejumuishwa maana uku mtaani tunaambiwa sisi waislamu ndo maskini na makafir ndo matajiri
Hapo ni idadi tu ya watu.hawa watu wamezingatia vigezo gani maana kuna nchi zipo kama kuzimu sudan kusini, Eritrea, burundi, malawi gaza na nyingine nyingi zina hali tete sana
Tanzania ikiwemoWeka na orodha ya nchi zdnye matajiri wengi afrika.
Itagundua kwenye matajiri wakubwa kuna masikini wengi
Hata kama wamecook data ni ukweli. Watanzania wengi niaskini angalia makazi wanayoishi.🛑🛑Sufuria ya kupika DATA za uongo! IPO kenya, any one can cooks any data he will, its easy with mobile,you can do that!🛑🛑
JPM ndiye aliyetakiwa ayanyooshe mambo ila basi tu!!Utafiti uliofanywa na taasisi ya World Data Lab umeitaja Tanzania kuwa nchi ya sita katika orodha ya nchi ambazo watu wake wanaishi kwenye umaskini uliopindukia (extreme poverty). Lakini wiki iliyopita serikali ilitangaza kuuza hatifungani (bond) ya miaka 25 ambayo ilikuwa inalipa kiwango cha riba (interest rate) cha 12.75%.
Serikali ilitaka kupata bilioni 289 katika mnada huo. Lakini waliojitokeza kwenye mnada huo waliweka jumla ya shilingi trilioni 2.1 kununua hati fungani hizo. Kwa kifupi ni kwamba serikali ilitaka bilioni 289, lakini wanunuzi walikuwa na mzigo wa zaidi ya trilioni 2 na bilioni 100.
Kwa nchi ambayo mifumo yake ya fedha ina "fairness" na ipo "harmonized" haikutegemewa kuwe na kundi la watu ambao wapo tayari kununua hatifungani za serikali kwa pesa nyingi, halafu ndani ya nchi hiyohiyo kuna kundi kubwa la watu waishi katika ufukara.
Kiuchumi hii ni economic paradox. Tafsiri yake ni kwamba kuna kundi dogo la watu limeshika uchumi. Hilo kundi ndilo lenye uwezo wa ku-bid trilioni 2 kwenye mnada wa bilioni 200 tu. Kwa kifupi ni kwamba gap kati ya mwenye nacho na asiye nacho linazidi kuongezeka.
Ukisoma kitabu cha Undercover Economics cha James Brown na Charles Coffin Little, kinaeleza kuwa moja kati ya factors zinazosababisha kwenye nchi moja baadhi ya watu kuwa na pesa nyingi huku wengi wakiwa mafukara ni kushamiri kwa ufisadi, biashara haramu, dili feki, na kukosekana kwa uwazi katika mifumo ya fedha. Je waliyoeleza Little na Brown yanasadifu hali ya Tanzania? Kama sivyo, je nini kinasababisha kundi dogo la watu kuwa na fedha nyingi huku wengi wakiishi kwenye ufukara?
Mama yenu kizimkazi anasemaje kuhusu umasikini unaoshikika?Kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman, hakuna haja ya visingizio au porojo useless kama hizo 🐒
Humu jukwaani wote matajiri na wenye maisha mazuri ni makafir, waislamu maskin hoehae wanavaa vijora na kushindia miguu ya kukuNani alisema hivyo?. Utajiri hauna dini.
Wapuuzie hao eti congo drc ituzidi kichekesho hiki sehemu ambayo barabara za shida kula ya shida, takwinu za kupikwaKwamba wengi tunaishi chini ya dola moja kwa siku,dola moja ni Tsh 2600,bando GB 1 ni 2100 na tupo online daily watu 40+m,hizo tafiti za kipuuzi tu,dola moja unaishije tz?
Hizo hati fungani wanauziana wao kwa Wao. Kikwete, Samia, Mchengerwa, na Kiziga..Kwa nchi ambayo mifumo yake ya fedha ina "fairness" na ipo "harmonized" haikutegemewa kuwe na kundi la watu ambao wapo tayari kununua hatifungani za serikali kwa pesa nyingi, halafu ndani ya nchi hiyohiyo kuna kundi kubwa la watu waishi katika ufukara.
hakuna haja ya kusingizia wengine umaskini wako binafsi ndugu mdau wa jf 🐒Mama yenu kizimkazi anasemaje kuhusu umasikini unaoshikika?
GT hata Namibia na Botswana?Tafiti zinapingwa kwa tafiti ila hii hapana bhana zipo Nchi masikini sana zaidi ya Tanzania na zipo nyingi tu na pia kuna vitu nilifatilia nikagundua zipo Nchi zina uchumi mzuri ila watu wake wengi wanaishi kwenye umasikini kukiko hata Tanzania mfano Botswana,SA,Namibia,Ethiopia na Kenya.