Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,126
- 2,306
Au shida kizungu?
Huyo ni mwanamke hawezi kuwa shoga.Mbona unarukaruka kama shog@ kakalia msumari inchi 12?
Hapo imetajwa idadi ya watu wanaoishi kwenye umaskini. Tukikokotoa asilimia, inakuja 34%.Tafiti zinapingwa kwa tafiti ila hii hapana bhana zipo Nchi masikini sana zaidi ya Tanzania na zipo nyingi tu na pia kuna vitu nilifatilia nikagundua zipo Nchi zina uchumi mzuri ila watu wake wengi wanaishi kwenye umasikini kukiko hata Tanzania mfano Botswana,SA,Namibia,Ethiopia na Kenya.
Sawa mkuuHapo imetajwa idadi ya watu wanaoishi kwenye umaskini. Tukikokotoa asilimia, inakuja 34%.
Kenya Ni 48% wanaishi kwenye umaskini.
Kwa hiyo, Kenya Wana asilimia Kubwa ya watu wanaoishi kwenye umaskini lakini Tanzania ina idadi Kubwa ya watu wanaishi kwenye umaskini (japokuwa asilimia ni chache kushinda kenya)
Kumbe hatupo top 5.
Masikini kuzidi Kenya!? Siukatai umasikini wa Tanzania ila Kenya aisee ni jehannamu. Unapajua Korogocho na Kibera kwanza!?Hata kama wamecook data ni ukweli. Watanzania wengi niaskini angalia makazi wanayoishi.