Tanzania yashika nafasi ya sita kwa kuwa na masikini wengi zaidi Duniani

Ni kweli Tanzania maskini wengi.
 
hawa watu wamezingatia vigezo gani maana kuna nchi zipo kama kuzimu sudan kusini, Eritrea, burundi, malawi gaza na nyingine nyingi zina hali tete sana
Wameangalia idadi ya watu. Sasa sisi tunakaribia watu milioni 70 hatuwezi kulingana na Burundi. Ndio maana Nigeria ni ya kwanza na Ina uchumi mzuri kuliko Tanzania.
 
Soon tutakuwa kwenye top 3, baada ya nigeria, ni congo kisha sisi..
Na ukitaka hiyo data inoge zaidi fanya kwa ratio yaani idadi ya watu maskini 23.9 M gawa kawa watu milioni 60+ ndio utaona nchi hii inanuka ufukara.

Kwa nature ya viongozi wetu hii si ajabu.
 
🛑🛑Sufuria ya kupika DATA za uongo! IPO kenya, any one can cooks any data he will, its easy with mobile,you can do that!🛑🛑
Hata kama wamecook data ni ukweli. Watanzania wengi niaskini angalia makazi wanayoishi.
 
JPM ndiye aliyetakiwa ayanyooshe mambo ila basi tu!!
 
Mimi sitaki habari ya utafiti natumia macho yangu.Idadi ya watu wanaokula mmoja na chai ni kubwa kuliko enzi za mwalimu huku idadi ya wajengao magorofa kuliko zamani ikiongezeka.Hapa kunakitu kimejificha katika kwamba zetu
 
Kwamba wengi tunaishi chini ya dola moja kwa siku,dola moja ni Tsh 2600,bando GB 1 ni 2100 na tupo online daily watu 40+m,hizo tafiti za kipuuzi tu,dola moja unaishije tz?
Wapuuzie hao eti congo drc ituzidi kichekesho hiki sehemu ambayo barabara za shida kula ya shida, takwinu za kupikwa
 
Hizo hati fungani wanauziana wao kwa Wao. Kikwete, Samia, Mchengerwa, na Kiziga..
 
GT hata Namibia na Botswana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…