Wenye simu za smart ni wachache, alafu siku hizi bando zimekuwa cheap, kuna free wifi nyingi tu mitaaniKwamba wengi tunaishi chini ya dola moja kwa siku,dola moja ni Tsh 2600,bando GB 1 ni 2100 na tupo online daily watu 40+m,hizo tafiti za kipuuzi tu,dola moja unaishije tz?
Siyo kweli,fungu la tembele jero,unga kilo zaidi ya buku,nyana,vitunguu,mafuta,mkaa,vocha,usafiri,hiyo ni zaidi ya dola moja,na hapo ni mlo duniMbona ulichoongea wewe na wao ni sawa. Kama watu 40M wanaishi juu ya dollar 1, waliobaki ambao ni zaidi ya 25M wapo chini ya dollar 1. Kitu ambacho ni sawa huo utafiti umesema watu 23.9M. Kumbuka nchi yetu ina watu zaidi ya 65M.
Huwezi shindia mihogo ya jero,hiyo ni mihogo mitano tuWatanzania wengi hasa wa mijini hasa Dar wanashindia mihogo ya jero na pilipili nyingi sana.
Hunaga point kabisa ukishikwa makalio unabaki kutikisa tuKua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman, hakuna haja ya visingizio au porojo useless kama hizo 🐒
Hamnaga point kabisa mkishashikwa makalio mnabaki kuonyesha shanga tuKwamba wengi tunaishi chini ya dola moja kwa siku,dola moja ni Tsh 2600,bando GB 1 ni 2100 na tupo online daily watu 40+m,hizo tafiti za kipuuzi tu,dola moja unaishije tz?
Ungejibu hoja kuwatetea watafiti wakoHamnaga point kabisa mkishashikwa makalio mnabaki kuonyesha shanga tu
Serikali kutaka kupata bilioni 298 katika mnada wa hatifungani na watu kujitokeza na shilingi trillioni 2.1 ni ishara ya umasikini.Utafiti uliofanywa na taasisi ya World Data Lab umeitaja Tanzania kuwa nchi ya sita katika orodha ya nchi ambazo watu wake wanaishi kwenye umaskini uliopindukia (extreme poverty). Lakini wiki iliyopita serikali ilitangaza kuuza hatifungani (bond) ya miaka 25 ambayo ilikuwa inalipa kiwango cha riba (interest rate) cha 12.75%.
Serikali ilitaka kupata bilioni 289 katika mnada huo. Lakini waliojitokeza kwenye mnada huo waliweka jumla ya shilingi trilioni 2.1 kununua hati fungani hizo. Kwa kifupi ni kwamba serikali ilitaka bilioni 289, lakini wanunuzi walikuwa na mzigo wa zaidi ya trilioni 2 na bilioni 100.
Kwa nchi ambayo mifumo yake ya fedha ina "fairness" na ipo "harmonized" haikutegemewa kuwe na kundi la watu ambao wapo tayari kununua hatifungani za serikali kwa pesa nyingi, halafu ndani ya nchi hiyohiyo kuna kundi kubwa la watu waishi katika ufukara.
Kiuchumi hii ni economic paradox. Tafsiri yake ni kwamba kuna kundi dogo la watu limeshika uchumi. Hilo kundi ndilo lenye uwezo wa ku-bid trilioni 2 kwenye mnada wa bilioni 200 tu. Kwa kifupi ni kwamba gap kati ya mwenye nacho na asiye nacho linazidi kuongezeka.
Ukisoma kitabu cha Undercover Economics cha James Brown na Charles Coffin Little, kinaeleza kuwa moja kati ya factors zinazosababisha kwenye nchi moja baadhi ya watu kuwa na pesa nyingi huku wengi wakiwa mafukara ni kushamiri kwa ufisadi, biashara haramu, dili feki, na kukosekana kwa uwazi katika mifumo ya fedha. Je waliyoeleza Little na Brown yanasadifu hali ya Tanzania? Kama sivyo, je nini kinasababisha kundi dogo la watu kuwa na fedha nyingi huku wengi wakiishi kwenye ufukara?
Sawa lakini mimi naongea pia kwa mifano SA watu weusi ni masikini sana aisee kuliko hata Watanzania walio vijijinini hapa..IPo kwenye mitandao, sio jambo jipya. Takwimu za benki ya dunia zinaonyesha kuwa watanzania 4 kati ya kumi ni mafukara.
Ufukara huu unapimwa kwa kipato. Hawa wanaishi chini ya dola tatu kwa siku. Pili, wanaangalia hali ya lishe, upatikanaji wa maji safi na salama, huduma za afya nk.
Umaskini mkubwa zaidi uko maeneo ya vijijini ambako asilimia 31 ya kaya zinaishi chini ya kiwango cha umaskini, huku kanda ya ziwa na magharibi zikiongoza.
Kwamba mama anaupiga mwingi.Tumejitahidi...
Anazungumzia usawa ( economic inequality) Hizo nchi zina uchumi mzuri kwenye karatasi lakini ukiangalia mgawanyo wa hilo pato ni kwa watu wachache sana wanaonufaika na uchumi huo.GT hata Namibia na Botswana?
Sijala mpaka muda huu na Sina uhakika wa kupata hiyo 2600 unaweza kunisaidia mkuu ili tuupinge huu utafiti kwa pamoja?Ungejibu hoja kuwatetea watafiti wako
Toka 1990s tunaishi tu chini ya dola moja kwa wiki?
Wewe ulipo sahani ya ugali/wali bei gani?unga bei gani, tembele nyanya kitunguu,chai asubuhi?..jumla ni chini ya 2600?
Ulaya na marekani wapo wengi wanashinda njaa na hawana pa kulalaSijala mpaka muda huu na Sina uhakika wa kupata hiyo 2600 unaweza kunisaidia mkuu ili tuupinge huu utafiti kwa pamoja?
Acha porojo wewe, unataka watu wawekeze kila shilingi waliyo nayo wasibaki na savings!?..huko kwa watu ulikokimbilia hawana savings?Serikali kutaka kupata bilioni 298 katika mnada wa hatifungani na watu kujitokeza na shilingi trillioni 2.1 ni ishara ya umasikini.
Maana yake watu wengi wenye pesa wa nchi hii wanaogopa kuzizungusha kwenye biashara, wanakimbilia hatifungani za serikali, traditionally uwekezaji wenye usalama zaidi na returns ndogo.
Pengine ndiyo kama unavyosema, watu wanaopata pesa za ufisadi hawajui hata biashara.
Pengine hilo linamaanisha watu hawana imani na business environment ya nchi, ishara ya umasikini. Nchi haina mifumo inayoaminika.
Hiyo ina maana hata watu wenye pesa wa nchi hiyo hawako creative kwenye kufanya biashara, ishara ya umasikini.
Umasikini si kutokuwa na pesa tu, unaweza kuwa na pesa usijue kuzizungusha ukawa stagnant, uchumi wako haukui, mwishowe pesa zinapotea kwa inflation na kutojua kuzizungusha, unakuwa masikini.
Tanzania haina umasikini wa pesa au maliasili, ina tatizo la umasikini wa akili tu.
Mfano, mpaka sasa sielewi kwa nini Tanzania haina a Sovereign Wealth Fund ya mabilioni ya USD.
Ni umasikini wa akili tu unatufanya tuwe hivi.
Mbona unarukaruka kama shog@ kakalia msumari inchi 12?Ulaya na marekani wapo wengi wanashinda njaa na hawana pa kulala
Kuongoza nchi hakuonjwi kama komoni, sera nzuri ndo zitamfanya mtu/chama kishike Dola siyo matusi na kubeza Kila kitu kinachofanywa na serikali ya CCM Wala si kufanya siasa za vurugu mnaonekana siyo watanzania, na Mimi nikwambie tu watanzania hatutaki SIASA ZA VURUGUmwanetu.
Ipo haja ya kuwapa nchi upande mwingne . Tuone watatufikisha wapi.
CCM kwa miaka 65+ bado hawajaweza kuwa na sera nzuri na zenye ubora kupunguza umaskini.
Adui wa taifa bado ni Ujinga na umaskini.
Ni aibu kaka.
instinct desire
Vurugu za chadema ndo zimeharibu uchumi wetuSa100 mhuni sana.katutoa kuzuri katurudisha kubaya. Magufuli alituacha tukiwa uchumi wa kati lakini samia kaharibu ka kitu hadi tumerudi kwenye umasikini