Tanzania yashika nafasi ya sita kwa kuwa na masikini wengi zaidi Duniani

Daaa Niffer atupiganie tushike namba moja kwa Umasikini ,aweke namba tupige kura ,kina ogaah hawawezi kutupita.
 
UPUUZI NA UJINGA MTUPU.SASA HIVI DUNIA HII UNAWEZA UKATENGENEZA CHOCHOTE NA KUKIPANDISHA ANGANI.MTU ANAWEZA KUANDIKA KUWA UFARANSA YAMETOKEA MAANDAMANO MAKUBWA NA YA AMANI KABISA NA HAKUNA MALI YOYOTE ILIYOHARIBIWA NA BADO WATU WA SAMPULI YA FRANK WANJIRU WAKAISHIKIA BANGO HII HABARI
.TANGU LINI TANZAINIA IKAWA MASIKINI KULIKO, BURUNDI,JAMHURI YA AFRIKA YA KTI,MALAWI,ETC.
 
Kwamba wengi tunaishi chini ya dola moja kwa siku,dola moja ni Tsh 2600,bando GB 1 ni 2100 na tupo online daily watu 40+m,hizo tafiti za kipuuzi tu,dola moja unaishije tz?
Wifi za ofisi sio wote waNanunua bando
 
CC General Lucas Hebel Mwashambwa Lumumba Corps
 
Kwamba wengi tunaishi chini ya dola moja kwa siku,dola moja ni Tsh 2600,bando GB 1 ni 2100 na tupo online daily watu 40+m,hizo tafiti za kipuuzi tu,dola moja unaishije tz?
Tatizo ukishakuwa Hicho chama unakuwa kama umeng'olewa ubongo
Unakuwa na kazi ya kubishana na ukweli Kwa UONGO
Kupingana haki Kwa dhuluma na rushwa

Hiyo twakwimu yako million 40+ umetoa wapi wakati wanaomiliki smartphone hawfiki hiyo idadi

Hata wenye smartphone wengi wangapi wanaweka Gb1 Kila siku zaidi hiyo ni wiki

Ndo maana Shemeji yenu amewaambia ukweli vijana wa hicho chama ni Wala Rushwa wanapambana huo ukweli Hadi sasa

 
🤣🤣
 
Humu jukwaani wote matajiri na wenye maisha mazuri ni makafir, waislamu maskin hoehae wanavaa vijora na kushindia miguu ya kuku
Sio kweli. Muislamu au Mkristo au mpagani anaweza kuwa tajiri au maskini.
 
Siyo kweli,fungu la tembele jero,unga kilo zaidi ya buku,nyana,vitunguu,mafuta,mkaa,vocha,usafiri,hiyo ni zaidi ya dola moja,na hapo ni mlo duni
Nipo kijijini,msosi bei chini buku,wali, ugali maharage,siku nzima buku tatu
Mbona kama una akili kama za kuku anayewaza kula TU ?
Hizo twakwimu zako za UONGO unatoa wapi wewe mjinga
Huko nani mwenye akili timamu ?

Unatumia smartphone unashindwa hata kutafuta data TCRssm
Asilimia 44 ya 60 million ni watu wangapi
 
Kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman, hakuna haja ya visingizio au porojo useless kama hizo 🐒
Wewe kipato cha buku7 lini kitajufanya uwe tajili kama mchengerwa? Aka shemeji au lini utamsogelea Mr nyamitako aka bashite
 
Tuwekee matokeo ya utafiti wako. Tunazo akili za kutosha kupambanua hayo yako na haya yaliyowekwa hapa.

Hivyo vimaneno vyako havitoshi kuttuonyesha huo umaskini wa hao wengine uliowataja wewe.
Au umehitimu shule moja na Samia, maana ndiye mwenye vimanenomaneno tu vya aina hii uliyotumia hapa.
 
Kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman, hakuna haja ya visingizio au porojo useless kama hizo 🐒
jinsi unavyopoteza muda wako mwingi humu JF, hakuna shaka yoyote ya hali ya kiuchumi uliyonayo wewe.
This is a simple fact of deduction.
 
hawa watu wamezingatia vigezo gani maana kuna nchi zipo kama kuzimu sudan kusini, Eritrea, burundi, malawi gaza na nyingine nyingi zina hali tete sana
Wametumia idadi au namba na siyo asilimia.
Nchi kama Burundi ina asilimia kubwa ya watu masikini lakini kwa ujumla idadi ya watu ni ndogo kuliko Tanzania.
 
Wewe masikini si nenda mwenyewe huko ukajionee mambo ya uchumi yanahusiana nini na unayoongea mimi nasema hizo Nchi pia zina watu masikini sana kuliko mnavyodhania sema kama umeganda kama jiwe hauwezi kujua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…