Tanzania yashika nafasi ya sita kwa kuwa na masikini wengi zaidi Duniani

Benchmark inayotumika ni watu wanaoishi chini ya Dollar 3.00. Tanzania hatupo huko tena
 
Tupo vizuri ndani ya 5 hayumo... 🎉💐🎉

Ila ki % ndio naipendagaaa ianze, ndio naelewa vizuri mimi.. nafikiri nikumbuke yeaaah ile ya kama kiwatu... Oops na mix au
🤗
 
Kama malawi na zambia wametupita kimaisha basi ni takwimu za kupika..so kwl.
 
Hapo imetajwa idadi ya watu wanaoishi kwenye umaskini. Tukikokotoa asilimia, inakuja 34%.
Kenya Ni 48% wanaishi kwenye umaskini.
Kwa hiyo, Kenya Wana asilimia Kubwa ya watu wanaoishi kwenye umaskini lakini Tanzania ina idadi Kubwa ya watu wanaishi kwenye umaskini (japokuwa asilimia ni chache kushinda kenya)
 
Sawa mkuu
 
Hata kama wamecook data ni ukweli. Watanzania wengi niaskini angalia makazi wanayoishi.
Masikini kuzidi Kenya!? Siukatai umasikini wa Tanzania ila Kenya aisee ni jehannamu. Unapajua Korogocho na Kibera kwanza!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…