Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikataba ya kijinga kama huu wa DP WORLD ndiyo baadae inatuleta kesi kama hizi.
Unatetea nini mjinga wewe? mkataba ulisainiwa kwenye utawala upi? udini unakutesa sn
si bora Magufuli aliyerekebisha sheria na Kampuni hizo kama zinamadai yafunguliwe katika Mahakama za ndani,sasa SAMIA karudisha kama ilivyo kuwa kipindi cha Kikwete ruksa kufungua nje ya NchiiMwendazake alitufanyia mabalaa yya ajabu. Na bado wengine.
Kwenye hizi dili Rostam na JK huwakosiMikataba yote mibovu aliyofuta magufuli kulinda rasilimali za nchi, alisaini Jakaya kikwete na baada ya magufuli kuona ni mikataba ya kipumbavu akarisk bora hasara kuliko kuuza rasilimali kizembe, ndio maana unaona hao DP world wanabebwa kijinga sababu ni ule ule ujinga wa mikataba ya kijinga
Maza hajui hata kinachoendelea yeye mradi ndege na posho zipo za kusafirisi bora Magufuli aliyerekebisha sheria na Kampuni hizo kama zinamadai yafunguliwe katika Mahakama za ndani,sasa SAMIA karudisha kama ilivyo kuwa kipindi cha Kikwete ruksa kufungua nje ya Nchii
Hii ndiyo kubwa kuliko zote maana Rostam kaisimamia vizuriKila siku ni kulipa fine! Bado wanatuandalia fine nyingine kny DP world
Ndiyo maana wanajiwekea kinga wasishitakiwe wapige pesa za umma kwa mikataba ya kijinga kama hiiwawekezaji wanao kuja kuwekeza katika Nchi zetu za Kiafrika wote ni wezi na matapeli tu tena wanashirikiana na Marais waliopo madarakani.Ndio maana uwekezaji wowote kwa Nchi za kiafrika ni laana na hauna manufaa yoyote kwa Umma.
Hili balaa moja tu la bandari la shangazi yako linayazidi yote ya mwendazake.Mwendazake alitufanyia mabalaa yya ajabu. Na bado wengine.
Aliyevunja ndio amekosea.Angetizama kwanza kuvunja kuna maslahi au hakuna.Mkataba wowote hata wa kupangisha frem ya biashara,anayevunja mkataba ndio inakula kwake.Tumia akili.Ndio maana tunasema shida sio magufuli ni hawa wajinga wanaoingia mikataba mibovu ambayo haina maslahi kwa nchi kwa mfano magufuli baada ya kugundua hizo ni dili za watu alitunga sheria ya ulinzi wa rasilimali, ambapo kesi zinazohusu rasilimali za tanzania zitaamuliwa kwenye mahakama zetu, washenzi leo hii hiyo sheria wameenda kuifuta kabisa na hawaitaki wakati walipitisha wao hatari sana
wawekezaji wanao kuja kuwekeza katika Nchi zetu za Kiafrika wote ni wezi na matapeli tu tena wanashirikiana na Marais waliopo madarakani.Ndio maana uwekezaji wowote kwa Nchi za kiafrika ni laana na hauna manufaa yoyote kwa Umma.
Hapakuwa na mkataba wao walifutiwa leseni, soma ueleweLeseni ilifutwa 2018 mkabata ulisainiwa kipindi cha nani?