Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260

Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260

..aliyekuwa Waziri wa Sheria Prof.Kabudi, na Mwanasheria Mkuu Prof.Kilangi, ndio walioshauri mkataba uvunjwe, hivyo wanawajibika moja kwa moja na matokeo ya kesi hii.
 
DP world kikiumana huko mbele ya safari, watakamata ndege hazitatosha kulipa...unaweza ukazuka msako wa kukamata DIASPORA wakatumikishwe kazi uarabuni hadi deni liishe...
[emoji1787]humu Kuna vichwa vimeliwa na mchwa[emoji23]
 
Back
Top Bottom