Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260

Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260

Hata hawa DP world wajiandae kutushtaki tu, hii mikataba ya kimangungo inayosainiwa na maRais waislam haitavumiliwa tena, tutaivunja yote, wacha tushtakiwe
 
Unasema wazungu walivyo wahuni, huku unashangilia mikataba ambayo Kuna kila dalili ya uhuni. Hiyo ni kuikosea hata nafsi yako
Huwezi kuamka tu usingizini ubadilishe miakataba ya watu waliokwisha wekeza, lazima ufate makubaliano ya uwekezaji ya Kimataifa.
 
Lakini kiini cha yote ni kuingia mikataba mibovu.
Ubovu wa mikataba kwa mtazamo wa nani,huyu?:
 
Kwa hiyo mnasema mwendo msoga msoga na kiungo wake machachari Rost-Tamu Azizi Andambwile wanahusika?
 
Kwa akili za namna hii ya kuogopa kuvunja mkataba, ukikutana na mkataba mbovu utakuwa mtumwa wa mkataba maisha yako yote
Eti ukae na mkataba maisha yote kisa kuogopa ukiuvunja kuna kesi na hutashinda si afadhali uvunje tu ukawa ña deni ukalipa kisha ukawa huru.
 
Kuandamana dhidi ya “mabeberu” ni ujuha uliopitiliza. Tatizo letu ni serikali tunayoiendekeza inayoongozwa na watu wenye jeuri mbaya sana.

Kama ni maandamano basi yalenge kuwaondoa madarakani hao viongozi muflis, la sivyo heri tubaki na ujinga wetu!
Kama kuandamana tuandamane kwa ajili ya viongozi wetu si mabeberu kweli tutaonekana majuha .
 
ccm na wanaccm ni laana kwa taifa hili.
 
Utawala wa CCM unaiingiza nchi ktk matatizo na umaskini kila uchao!
Hii mikataba iliingiwa na kikwete kifisafdi (kama kawa yake) Mwendazake akaivunja kutokana na ufisadi aliofanya!
Sasa imekwenda kulekule UK na ndio tunatakiwa kulipa hizi fedha! CCM CCM huu ushetani wenu Mola atatulipia!
 
Back
Top Bottom