Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.

1746697031366.png
​
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.

Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.

Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.

Chanzo: Habari Leo
 
Chanzo: Habari Leota
Tangu lini mchawi akili uchawi wake?
 
Comrade kakosea tena!okh sawa najua waziri anapaswa awe positive Kwa serikali aliyomo hasta kama inanyooshewa kidole!!

Kosa la kimfumo!
 
Anamaanusha polisi kukamata watu eneo la mhakana kwa maagizo toka juu na kwenda kuwatupa polini baada ya kuwaumiza ndo kufuata sheria? Kweli serikali wamechanganyikiwa
 
Kwani Mdude ameshakufa?
Kwamba unatarajia kumuona Akiwa hai tena?
Wakati hujui Ben Rabiu wa Saa nane Yuko wapi na mdude alitoa taarifa ya kufuatiliwa na vijana wa kidola mpaka anakuwa abducted nyumbani kwake, the same as Ben,
TAL alitoa taarifa hizo hizo, Siro akasema hafanyii kazi umbea and he wa shot 16 bullets plainly in high profiled leaders residential area!

Kwani hujui kijana Soka hataonenakana tena na kijana aliyechoma picha Ndio amekua historia?
Mdude hakuna state authority inayozungumzia habari zake isipokua ahadi ya hela tu?
Who knows kama Rev Kitima angekua hai?

Wajinga wakishika madaraka mikono Yao hujaa damu!
 
Waziri awe makini kwa matmko yanayokwenda mbali Kimataifa. Mabalozi ni watu wazima watu wazima wanaojiitambua. Wana macho na masikio. Hawa watu/wazungu hutumia akili zaidi kuliko nguvu/mabavu kwenye maamuzi yao.

Mkitumia nguvu/mabavu kwao kama mfanyavyo kwa raia wenu shauri lenu. Mnaweza .kasababisha migogoro ya Kidiplomasia. Wasije wakatoa tamko la kwamba Tanz siyo salama kwa raia wa Kigeni.
 
Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.

Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.

Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.

Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.

Chanzo: Habari Leo
Huwezi kushindana na umoja wa Ulaya hata siku1!

Nyerere alisema hakubaliani na IMF kuishusha thamani ya Shillingi ya Tz huku akitafuta mtu wa kukabidhi madaraka ya kuongoza nchi!

Anaropokwa kwa sifa, lakini baadaye ataufyata tu mkia na kunyamaza kabisa.

Hauwezi kushindana na mlishi wako, ukimdindia anakunyima chakula ili ufe njaa.

Mnalo mwaka huu.
 
Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.

Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.

Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.

Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.

Chanzo: Habari Leo
Hii ni has

Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama,
Hebu tuchutame na kulijenga Taifa la Bwana, wanasiasa mnalipotezea dira hili Taifa ,hasa ccm na machwa yenu ,hatufiki popote , serkali mwachieni lissu, huu ujinga ,mh rais hatufiki popote kiongozi.

Hu rais tiyari ije mvua au jua tutakutunza kama aliekua Rais ,kama wenye nchi na walipa kodi, shida yko ipo wapi? Tafakari mkuu, kuna jambo nisingependa liandika hapo mpaka Mungu wangu aseme
 
CCM is an empire of lies, with an unbreakable streak of aggressive mendacity. The 1977 Constitution is one of the greatest deceit ever concocted by the so called free and civilized men.

First, they lied to us about UJAMAA, compelling us to be poor while party apparatchiks fattened their pockets.

Second, they lied to us about MUUNGANO. Everything about MUUNGANO is a lie, from structure to its operations. Even the astute and shrewd among legal and political scholars cannot properly describe this union with a waspish accuracy.

Third, they attack freedom of thought, and her prophets. Truth tellers are relegated to a Mephistophelean treatment worthy of the lower parts of hell. Kambona, Kolimba, Chipaka, Rutihinda, Kibona, Malima, Babu, and now Lissu are prime examples.

Nyerere was THE FATHER OF LIES, A FALSE PROPHET and a high priest of the false religion called STATE WORSHIP. A belief system that has caused a tumorous rot in the backbone of this republic.

CCM is a generational curse.​
 
Back
Top Bottom