Kwani Mdude ameshakufa?
..kwa jinsi alivyokuwa ameumizwa, kwa kuangalia damu zilizotapakaa eneo alipotekwa, bila shaka Mdude alipaswa kufikishwa hospitali. Kwa kweli inatia wasiwasi sana kwamba Mdude hajaonekana tangu alipotekwa.
Kwani Mdude ameshakufa?
Nchi inazidi kufunguliwa na mama.Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leo
Nyerere has been gone for decades. If you still think what drives you crazy derives from him after all these years, then, perhaps he deserves credit for being such a forbearing leader.Nyerere was THE FATHER OF LIES, A FALSE PROPHET and a high priest of the false religion called STATE WORSHIP. A belief system that has caused a tumorous rot in the backbone of this republic
Hii ilikuwa lini alipo "ufyata mkia na kunyamaza"?Anaropokwa kwa sifa, lakini baadaye ataufyata tu mkia na kunyamaza kabisa
Jasho lazima litoke hata kama kuna baridi kaliInaitwa: 'kutetea kisichoteteeka'
Ubaya ni kwamba watatoka madarakaniHamuezi kuua watu, kupiga , kuteka mtakavyo kwa kisingizio cha mkataba wa Viena, kamwe haiwezekani.
Chadema ili iweze kudeal na uhuni huu lazima wapambane na ccm nje ya Tanzania. CCM wamezoea sana na wana jiona wao ni kila kitu hapa duniani.
Kuna ubaya gani mkitenda haki?
Kama hivi wanatekeleza kudumisha Haki na Amani.Mbona anajitetea Kuna nini?
Yaani yeye balozi uchwara awafundishe mabalozi wa nje kuhusu taratibu?aache ujinga
Huo ndio mkataba wa Viena anaousema wazirSawa, wanatekeleza Wajibu wao kumua Kibao, JARIBIO la kumuua KITIMA, Kumuua Mdude , kumkamata LISSU Kwa Kesi ya kipuuzi ambayo hata wao hawana Ushahidi .
Nyerere aliwashindwa Wazungu!!.
Kikubwa Watanzania tumeamua kua bega Kwa bega na wazungu.
Mdude hajakufa mkuuSawa, wanatekeleza Wajibu wao kumua Kibao, JARIBIO la kumuua KITIMA, Kumuua Mdude , kumkamata LISSU Kwa Kesi ya kipuuzi ambayo hata wao hawana Ushahidi .
Nyerere aliwashindwa Wazungu!!.
Kikubwa Watanzania tumeamua kua bega Kwa bega na wazungu.
Hapo xaxa! Limejaa uoga!! Lilianzisha mchakato wa katiba na kuchezea kodi zetu, likaona ni katiba itakayowanyima uxingizi, wakagwaya! Wameona kuwa na "tume huru" watakoxa maisha, wakaanza kuvunja "haki jinai". Uoga mtupu ...nkTaifa huru lisilo na tume huru ya uchaguzi !
Hiyo ndio haki wanayoizungumziaKama hivi wanatekeleza kudumisha Haki na Amani.
Unaxema kweli!? Unajua aliko!? Ndg na jamaa wanahitaji kujua aliko, wahakikishie roho zao zitulieMdude hajakufa mkuu
Mwarabu sijui ni mshirazi bwana yule mimi nimeamua kuhamia malawi💩💩Thabiti Kombo kazi yake kubwa ni kusimamia mauzo ya Nchi tu, hakuna lingine analolifanya, Angalia Nchi anazotembelea
Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leo
Je sheria za nchi ndiyo zikiukwe hilo unaunga mkonno.Sheria za kimataifa lazima zifuatwe no way!
Hivi Rais samia kawajaza ndugu zake wazanzibar kalibu kila sehemu ndana ya serikari ya TanganyikaSerikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leo
Mwisho wa kupambana na Tembo ni kukanyagwa na kupasuka msisubiri Ulaya wakunjue kucha zao ndipo mchukue hatuaSerikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.