Kwani chura kiziwi huwa anasikia la mtuDawa huingia pole pole.
Wasubiri azimio la mabeberu leo:
View attachment 3327492
Kwani hata hilo dude walielewa halipaganwi hivyo?
Kwani chura kiziwi huwa anasikia la mtuDawa huingia pole pole.
Wasubiri azimio la mabeberu leo:
View attachment 3327492
Kwani hata hilo dude walielewa halipaganwi hivyo?
Jambo liongelewe leo unataka na impact yake uione leo leo mkuu?Hii ilikuwa lini alipo "ufyata mkia na kunyamaza"?
Au ni wewe uliziba masikio?
Sisi wapenda Demokrasia, hatutaki ushindi wa upendeleo ama ushindi wa kubebwa, tunataka viongozi watokane na ushindi halali wa kura za uchaguzi.Ili kuondoa sintofahamu,
CDM itaachwa ishike dola.
We jiulize, kiongozi ni wa 3 baada ya Yesu & Muhammad kama 1 wao alivomtukuza, ana xifa hizo anazoimbwa kuwa nazo, anazarau ripoti rasmi za kumsaidia kazi ili kleta maendleo ya wa2 wake, watu wanafanyiwa madhila ya kila namna, yy yuko bize na magoli ya timu ...nk. Utamwitaje mtu huyo!?Madhara ya kuuza Bandari na Mbuga za wanyama kwa waarabu, Pia kuchukua mikopo bila tija na mikataba mingine ya kimafia na magumashi kwa faida ya CCM na genge linalofaidika kwa mgongo wa Chama ndiyo imetufikisha hapa. Sasa imefikia hatua mnateka na mnaua watanzania wenzenu kwa faida ya genge/kikundi cha watu wanaotaka kulazimisha kusimika uongozi wa wa nchi kwa nguvu ili waendelee kuhujumu taifa kwa maslashi yao, watanzania hawatakubali. Mambo mabaya yanafanyika ndani ya nchi na ukisikia kauli za viongozi zimejaa kwejeli kibao. Hakuna kitu kilicho niumiza kama mwenezi Makala alivyojibu kwa kejeli kauli ya Mzee Warioba, hii inaonyesha dhahiri kuwa nchi ipo chini ya genge la mamafia flani hivi.
Huwezi kushindana na umoja wa Ulaya hata siku1!
Nyerere alisema hakubaliani na IMF kuishusha thamani ya Shillingi ya Tz huku akitafuta mtu wa kukabidhi madaraka ya kuongoza nchi!
Anaropokwa kwa sifa, lakini baadaye ataufyata tu mkia na kunyamaza kabisa.
Hauwezi kushindana na mlishi wako, ukimdindia anakunyima chakula ili ufe njaa.
Mnalo mwaka huu.
Una hoja ila hicho kiiinglishi mtihani!CCM is an empire of lies, with an unbreakable streak of aggressive mendacity. The 1977 Constitution is one of the greatest deceit ever concocted by the so called free and civilized men.
First, they lied to us about UJAMAA, compelling us to be poor while party apparatchiks fattened their pockets.
Second, they lied to us about MUUNGANO. Everything about MUUNGANO is a lie, from structure to its operations. Even the astute and shrewd among legal and political scholars cannot properly describe this union with a waspish accuracy.
Third, they attack freedom of thought, and her prophets. Truth tellers are relegated to a Mephistophelean treatment worthy of the lower parts of hell. Kambona, Kolimba, Chipaka, Rutihinda, Kibona, Malima, Babu, and now Lissu are prime examples.
Nyerere was THE FATHER OF LIES, A FALSE PROPHET and a high priest of the false religion called STATE WORSHIP. A belief system that has caused a tumorous rot in the backbone of this republic.
CCM is a generational curse.
Tutafika tuu!Madhara ya kuuza Bandari na Mbuga za wanyama kwa waarabu, Pia kuchukua mikopo bila tija na mikataba mingine ya kimafia na magumashi kwa faida ya CCM na genge linalofaidika kwa mgongo wa Chama ndiyo imetufikisha hapa. Sasa imefikia hatua mnateka na mnaua watanzania wenzenu kwa faida ya genge/kikundi cha watu wanaotaka kulazimisha kusimika uongozi wa wa nchi kwa nguvu ili waendelee kuhujumu taifa kwa maslashi yao, watanzania hawatakubali. Mambo mabaya yanafanyika ndani ya nchi na ukisikia kauli za viongozi zimejaa kwejeli kibao. Hakuna kitu kilicho niumiza kama mwenezi Makala alivyojibu kwa kejeli kauli ya Mzee Warioba, hii inaonyesha dhahiri kuwa nchi ipo chini ya genge la mamafia flani hivi.
Tunasemaje mabeberu wasitupangie sisi ni taifa huru tunafanya vile tunavyotaka tukiamua kuifuta chadema sawa kwahyo tusipangiwe wao c wana nchi zaoSerikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leo
Kwani Mdude ameshakufa?
mnataka kuficha nini huko mahakamani?Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leo
Inawezekana hukuelewa nilicho kuuliza. Ni wazi kuwa hata hiyo "kuufyata mkia" uliitumia tu bila uhalisia wake.Jambo liongelewe leo unataka na impact yake uione leo leo mkuu?
Matokeo ya jambo lolote huonekana baada ya muda.
Labda nikuulize, Nyerere angeliweza kugomea kuishusha thamani Shillingi ya Tz, je thamani isingelishuka kweli?Inawezekana hukuelewa nilicho kuuliza. Ni wazi kuwa hata hiyo "kuufyata mkia" uliitumia tu bila uhalisia wake.
Hivi hujui mtikisiko uliosababishwa na IMF na World Benki kwa uchumi wa dunia wakati huo, mtikisiko uliotokana na yale yale yaliyokuwa yakipingwa na Mwalimu Nyerere?
Ni rahisi kwetu leo hii kuja humu na kupotosha watu; kwa kujuwa kuwa hawana kumbukumbu zozote ya yaliyotokea wakati huo.
Nasikia ameonekana Arusha kwa Lema 🤣..kwa jinsi alivyokuwa ameumizwa, kwa kuangalia damu zilizotapakaa eneo alipotekwa, bila shaka Mdude alipaswa kufikishwa hospitali. Kwa kweli inatia wasiwasi sana kwamba Mdude hajaonekana tangu alipotekwa.