Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwani Mdude ameshakufa?Sawa, wanatekeleza Wajibu wao kumua Kibao, JARIBIO la kumuua KITIMA, Kumuua Mdude , kumkamata LISSU Kwa Kesi ya kipuuzi ambayo hata wao hawana Ushahidi .
Nyerere aliwashindwa Wazungu!!.
Kikubwa Watanzania tumeamua kua bega Kwa bega na wazungu.
Sheria za kimataifa lazima zifuatwe no way!Mbona anajitetea Kuna nini?
Yaani yeye balozi uchwara awafundishe mabalozi wa nje kuhusu taratibu?aache ujinga
Tangu lini mchawi akili uchawi wake?Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leota
Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leo
Kwamba unatarajia kumuona Akiwa hai tena?Kwani Mdude ameshakufa?
Huwezi kushindana na umoja wa Ulaya hata siku1!Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leo
Hii ni hasSerikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema hoja na maswali yote kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini yamejibiwa kwa uwazi. "Hatujavunja sheria yoyote ile na tumeendelea kuzingatia sheria," amesema Balozi Kombo.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kunaripotiwa sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani, kufuatia hatua za vyombo vya dola kumshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na shtaka la uhaini na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025.
Aidha, Waziri Kombo amewataka wanadiplomasia wanaowakilisha mataifa yao nchini kuzingatia masharti ya Mkataba wa Vienna, ikiwemo kutofika mahakamani bila kibali rasmi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taratibu za kidiplomasia.
Chanzo: Habari Leo
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama,Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.