Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru

Ili kuondoa sintofahamu,

CDM itaachwa ishike dola.
 
Madhara ya kuuza Bandari na Mbuga za wanyama kwa waarabu, Pia kuchukua mikopo bila tija na mikataba mingine ya kimafia na magumashi kwa faida ya CCM na genge linalofaidika kwa mgongo wa Chama ndiyo imetufikisha hapa. Sasa imefikia hatua mnateka na mnaua watanzania wenzenu kwa faida ya genge/kikundi cha watu wanaotaka kulazimisha kusimika uongozi wa wa nchi kwa nguvu ili waendelee kuhujumu taifa kwa maslashi yao, watanzania hawatakubali. Mambo mabaya yanafanyika ndani ya nchi na ukisikia kauli za viongozi zimejaa kwejeli kibao. Hakuna kitu kilicho niumiza kama mwenezi Makala alivyojibu kwa kejeli kauli ya Mzee Warioba, hii inaonyesha dhahiri kuwa nchi ipo chini ya genge la mamafia flani hivi.
 
Mwambie afiche UJINGA wake, heri angekua kimya
I
 
Sheria za kimataifa lazima zifuatwe no way!
Mtawafanya nini Mabalozi? mnaweza tushia pusi Mabalozi wa nchibza Africa kama Burundi,Malawi huko na kazalika.
Mabalozi wa Ulaya au Marekani hakuna mnacho weza kuwafanya, wale hawatishwi paka. Wanawajengea vyoo,
 
 
Mwaisa ung'eng'e wako ni wa Oxford kabisaa.
👏👏👏👏
 
Sawa, wanatekeleza Wajibu wao kumua Kibao, JARIBIO la kumuua KITIMA, Kumuua Mdude , kumkamata LISSU Kwa Kesi ya kipuuzi ambayo hata wao hawana Ushahidi .

Nyerere aliwashindwa Wazungu!!.


Kikubwa Watanzania tumeamua kua bega Kwa bega na wazungu.
Thabiti Kombo kazi yake kubwa ni kusimamia mauzo ya Nchi tu, hakuna lingine analolifanya, Angalia Nchi anazotembelea
 
well done ndugu waziri,
maana kuna mabalozi ni vimbelembele mno hawafahamu hata ustaarabu wa sheria za kimataifa dhidi ya mambo ya ndani ya nchi mahalia 🐒
 
Reactions: Tui
Kwa hili la kumbambikizia lissu kesi watuingilie tu..
 
Ujinga mwingine huu hapa.
Chama chetu kipo imara ,lakini kwa nini tutumia nguvu kubwa kukandamiza wapinzani wetu?.
Hapa kuna kitu tunafichwa.
 
Kwa hiyo na wao wakiacha kutoa support itakuwa ni kwa sheria zao?

Waziri akumbuke kuwa mikataba ya kimataifa kulinda haki za binadamu ipo. Maana viongozi dhalimu huacha misaada na kuwatesa wanaanchi huku wao wakineemeka. Dunia iliyostaarabika haiwezi kuwaacha tu.
 
Tusubiri yajayo
 
Ujinga mwingine huu hapa.
Chama chetu kipo imara ,lakini kwa nini tutumia nguvu kubwa kukandamiza wapinzani wetu?.
Hapa kuna kitu tunafichwa.
Waondoe polisi wasihusike kwenye uchaguzi
 
Hamuezi kuua watu, kupiga , kuteka mtakavyo kwa kisingizio cha mkataba wa Viena, kamwe haiwezekani.

Chadema ili iweze kudeal na uhuni huu lazima wapambane na ccm nje ya Tanzania. CCM wamezoea sana na wana jiona wao ni kila kitu hapa duniani.

Kuna ubaya gani mkitenda haki?
 
Really! Okay we are going to show you step by step where you went wrong!
 
Polisi na wao wanazingatia sheria hapo mahakamani?
Hlo ni moja tu analotakiwa kujibu huyo waziri, kama mfano mdogo tuy wa serikali kutozingatia sheria

Kutengeneza mazingira ya kuiba uchaguzi ni kuzingatia sheria?
Kuteka, kuumiza watu na wengine kuuawa na vyombo vya dola, ni kuzingatia sheria?

Kilicho baki na hii CCM na serikali yake ni kwa hao mabalozi watusaidie nyenzo tu za kuwaondoa madarakani hawa washenzi.
Watusaidie tu vitendea kazi ya sisi wenyewe kujikomboa toka kwa hawa madharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…