Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru

Kwani Mdude ameshakufa?

..kwa jinsi alivyokuwa ameumizwa, kwa kuangalia damu zilizotapakaa eneo alipotekwa, bila shaka Mdude alipaswa kufikishwa hospitali. Kwa kweli inatia wasiwasi sana kwamba Mdude hajaonekana tangu alipotekwa.
 
Nchi inazidi kufunguliwa na mama.

RIP JPM hawa chawa walikutukana sana.

Siku hizi wana kauli mbiu eti "Kazi na UTU"
 
Nyerere was THE FATHER OF LIES, A FALSE PROPHET and a high priest of the false religion called STATE WORSHIP. A belief system that has caused a tumorous rot in the backbone of this republic
Nyerere has been gone for decades. If you still think what drives you crazy derives from him after all these years, then, perhaps he deserves credit for being such a forbearing leader.

Mwalimu has nothing to do with the shit happening today, and you very well know that.
 
Ubaya ni kwamba watatoka madarakani
 
Sawa, wanatekeleza Wajibu wao kumua Kibao, JARIBIO la kumuua KITIMA, Kumuua Mdude , kumkamata LISSU Kwa Kesi ya kipuuzi ambayo hata wao hawana Ushahidi .

Nyerere aliwashindwa Wazungu!!.


Kikubwa Watanzania tumeamua kua bega Kwa bega na wazungu.
Huo ndio mkataba wa Viena anaousema wazir
 
Sawa, wanatekeleza Wajibu wao kumua Kibao, JARIBIO la kumuua KITIMA, Kumuua Mdude , kumkamata LISSU Kwa Kesi ya kipuuzi ambayo hata wao hawana Ushahidi .

Nyerere aliwashindwa Wazungu!!.


Kikubwa Watanzania tumeamua kua bega Kwa bega na wazungu.
Mdude hajakufa mkuu
 
Angewataja walio husika kumshambulia kwa risasi lisu ningemuelewa kweli tupo huru,kinyume na hapo inchi haipo salama hii
 
Taifa huru lisilo na tume huru ya uchaguzi !
Hapo xaxa! Limejaa uoga!! Lilianzisha mchakato wa katiba na kuchezea kodi zetu, likaona ni katiba itakayowanyima uxingizi, wakagwaya! Wameona kuwa na "tume huru" watakoxa maisha, wakaanza kuvunja "haki jinai". Uoga mtupu ...nk
"
 

Dawa huingia pole pole.

Wasubiri azimio la mabeberu leo:



Kwani hata hilo dude walielewa halipaganwi hivyo?
 
Hivi Rais samia kawajaza ndugu zake wazanzibar kalibu kila sehemu ndana ya serikari ya Tanganyika
 
Mwisho wa kupambana na Tembo ni kukanyagwa na kupasuka msisubiri Ulaya wakunjue kucha zao ndipo mchukue hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…