Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

Acha ujinga wakulima wanaenda kupata hasara

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna mkulima mwenye stock kipindi hiki, kati ya mimi na wewe unahisi nani mnunuzi wa mahindi boya wewe, mahindi ya mwisho tumenunua kilindi na hapo ni baada ya kutoka kigoma na sumbawanga hadi matai, na mpanda kwa mkulima peleka hata 90 elfu ya tanzania kwa sasa hawana mahindi, unapeleka gari tani 30 unapata tani 5 kwa wiki mbili unasema nini fuvkyou
 
Wewe ni idiot.. mimi nimelima elbadaw kule hanang na nimehifadhi ninataka kuuza kuanzia december.

Serikali iache upumbavu. Wanalipana posho na kupandisha mishahara yao lakini hawataki wakulima tuuze kwa faida kwenye masoko mazuri.
 
Yaani Mimi nihangaike kulima,mbolea bei juu,madawa ya kukuzia na kupandia bei juu na mnanifungia mipaka ili niuze kwa hasara?Hii nchi imekuwa ya kijinga sana

Ungekua umefika ngome za mahindi kama songea, madaba, namtumbo, mbinga, mpanda yote, kilindi, kigoma kasulu kule makere na kagera nkanda, manyara yote hadi kateshi huko, mbeya hasa ileje isongole ambapo hua tunazoa mahindi usingeharisha hapa kwani mahindi hakuna na mpunga ni kidogo ndio maana kilo moja ya mchele mtwara kwa sasa ni 4000 tsh, biashara tunapenda lakini sio kwa mwaka huu mavuno hayakua mazuri kulingana na mvua na mvua mwaka huu ni kidogo soko la ndani pekee linatosha kumpa mtu faida
 
Ngoja tuweke stoo hatuuzi mahindi, Kila Moja alime yake
 
Huku kilindi na handeni wakivuna tu wanauza gunia elf30 mpaka 25 unaweza pata alafu baada ya hapo ndoa zinakua nyingi watu wanaongeza wake tu.
.
Saiv wachaga wanauza unga kg1 1500 wanawauzia wakulima
 
Hii ni kumyanyasa mkulima,

Halafu kenya walivyo wajanja wanasaga unga na kupack vizuri wanaprint made in Kenya wanauza congo bei mara kumi
 
Hii kitu niliandika humu watu wakaja juu eti ni mda wa mkulima kunufaika. Hakuna mkulima anayepeleka mahindi Kenya ni wafanya Biashara tu ndo wenye uwezo huo tu. Nilipenyezewa za ndani kua mama tozo ameambiwa bohari kuu ya chakula ya serikali Haina chakula.

Ndo kashituka akaagiza na kuzuia kimya kimya tangu wa 7 katikati. Ila Leo ndo wameamua kutangaza. Usalama wa nchi yoyote Ile hua ni utoshelevu wa chakula. Na Bahat mbaya viongozi wetu wa ccm Hilo hawalijui wanawazia matumbo Yao tu
 
Wale madalali na walanguzi wa mazao wanaojiita wakulima lazima povu liwatoke hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…