Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Wewe ukila mshahara wako wote in just 2 days Kuna mtu huwa anakuuliza? Hebu ucheni mambo ya kidwanzi aiseeee..Huku kilindi na handeni wakivuna tu wanauza gunia elf30 mpaka 25 unaweza pata alafu baada ya hapo ndoa zinakua nyingi watu wanaongeza wake tu.
.
Saiv wachaga wanauza unga kg1 1500 wanawauzia wakulima