Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

To late serikali ya Tanzania turiishauri mpaka kukata mauno wakajifanya wanafungua nchi fungulieni hata msifunge sababu hamna mikakati ya food security
 
Kwani mkulima ni hadi alime yeye? Nikimpa mkulima pesa alime kisha tukakatana na nikayanunua ya ziada ya pesa niliyolipa, mimi ni mkulima au ni nani? Tumia akili za kichwani
Hiyi ipo wapi na kwa kiwango gani? Wanaouza mahindi sasa hivi ni wafanyabiashara ya mazao, mm nikiwepo. Hii ya kumpa mtu akulimie tulishatoka huko. Sasa hivi ili upate pesa ni mwendo wa kulangua. Tunanunua kwa bei ya chini wakati wa mavuno(april-june) na kuuza bei kubwa (september-february).
Mwaka huu tulinunua kwa debe sh 10000 mwezi wa 5, sasa hivi ndio tunayauza.

Mkulima ni mtu ambae hawezi kutuza mahindi maana ni gharama kuyatunza na pia walio wengi ni wakulima wadogo, unakita mtu analika eka 2, 4, 5, akizidi sana 20 unakuta anapata gunia chini ya 100. unasafirishaje gunia 20 au 50 kupeleka Kenya.

Wakulima wakubwa ni wachache sana na wenyewe ni Kama wamekata tamaa kwenye mahindi maana hayatabiriki.
 
Wakulima si lazima walime, panua wigo wa kuwaza kwako ndugu yangu, hata nikikopa pesa na kwemda kulima , tayari yule aliyenikopesa ni mkulima, na kufeli au kufaulu kwangu kuna mgusa moja kwa moja, na hata nikamlipa in terms of magunia ya mahindi, bado analazimika kuyauza kwenye soko zuri ili arudishe pesa yake aliyonipa nilime, sijui hako kaubongo kako kameanza kuelewa lakini?
 
Unachozungumza wewe ni kitu ambacho kipo kwa kiwango kidogo sana. Hiyo ya kumkopesha pesa mkulima akulimie kwa miaka hii umeona nani anafanya?
 
Tuliwaeleza muda mrefu wakashupaza mashingo, tuliwaambia mavuno hayakua mazuri wakaleta hadithi zao
Halafu utawaona wale waliokuwa wanasema eti acha wakulima wapige pesa, watakuja tena kuisifia serikali kwa uamuzi huu!!
 
Hii kitu niliandika humu watu wakaja juu eti ni mda wa mkulima kunufaika. Hakuna mkulima anayepeleka mahindi Kenya ni wafanya Biashara tu ndo wenye uwezo huo tu. Nilipenyezewa za ndani kua mama tozo ameambiwa bohari kuu ya chakula ya serikali Haina chakula.

Ndo kashituka akaagiza na kuzuia kimya kimya tangu wa 7 katikati. Ila Leo ndo wameamua kutangaza. Usalama wa nchi yoyote Ile hua ni utoshelevu wa chakula. Na Bahat mbaya viongozi wetu wa ccm Hilo hawalijui wanawazia matumbo Yao tu
Nakumbuka ulisema, namimi nilichangia nikatukanwa.
 
Upuuzi mtupu. Mimi nimeplan kuuza yangu niliyolima ifikapo december na january na nitauza popote ninapotaka. Hakuna aliyenisaidia kulima.
Hayo ni maneno tu, hivi unafikiria biashara ya kuvuka mipaka ni sawa, na kutoa mahindi, morogoro kupeleka dar?!!bila vibali halali, huwezi vuka mpaka.
 
Mimi niliandika hadi humu JF watu wakashupaza shingo, magufuli hakua mjinga kua ana calculate na kufunga mipaka maana usalama wa kwanza wa nchi ni chakula na ukumbuke serikali zetu tia maji tia maji uwezo wa kuimport vyakula hawana wamekalia maneno na hifadhi ya chakula hawanunui ya kutosha
Mkuu hebu niambie toka 2015 hadi 2021, ni mwaka gani kulikuwa na zuio la kuuza nafaka nje ya nchi?kwani mala ya mwisho ilikuwa ni kipindi cha jk.mimi nimekuwa naifanya sana biashara hiyo.Kilichotokea miaka hiyo ukitoa 2016, ambapo mavuno yalikuwa kidogo kutokana na upungufu wa mvua, ndipo bei ya unga ilifikia 2000!! Lakini miaka yote mingine mavuno yalikuwa mengi sana, na hata kupelekea kukosa soko, kwani hata majirani zetu nao walikuwa na mahindi ya kutosha tu.Kwani hata ukifungua mipaka inategemea na huko unakopeleka wawe hawana mavuno mazuri, ndipo unaweza kupeleka tofauti na hivyo huwezi., Utapata hasara tu.
 
Uganda na Rwanda wana mahindi ya kutosha kutoka Tanzania maana serikali iliwapa wafanyabiashara wao mabilioni wanunue Tanzania, watu kama akina bashe wakielezwa haya hawajui na naimani mawaziri wengi hawajui mchezo wa kagame na museveni na kenyata wao wanawapa mabilioni watu wao watafute mazao kokote kule hawa wa kwetu wao wanacheka tu
Sasa kama Rwanda na Uganda wananunua Kwa wengi sindio vizuri serikali ingesupport wa kulima mavuno yawe mengi Kwa kupunguza Bei ya pembejeo
 
Tuendelee na utaratibu huu huu wa kufunga mipaka tuone kama kuna vijana wataenda kulima. Mwisho wa siku kufunga mipaka ndiyo kutaleta njaa. Hakuna mkulima mkubwa atalima kwenye mazingira haya.
 
Upuuzi mtupu. Mimi nimeplan kuuza yangu niliyolima ifikapo december na january na nitauza popote ninapotaka. Hakuna aliyenisaidia kulima.
Na hili ndio tatizo, wanapiga marufuku, bila ya mbadala wa kuhakikisha wakulima wanapata hata mteja wa ndani! Kuzuia kuuza nje halafu mazao yanaoza kwenye maghala kunasaidia nini?
 
Serikali ingeacha yaendelee kuuzwa ili mkulima apate anachostahili. Nguvu kazi nyingi imekimbilia mijini, utakuta kijana mwenye nguvu huko hata akifanya kazi ya kuuza pipi mbili na boksi matatu ya biskuti anapata fedha ya kula wali mwingi na maharage kwa mama ntilie kwa mgongo na maumivu ya mkulima anayedhulumiwa huko shambani.

Ngoja bei za nafaka zipande ili warudi vijijini wakalime.
 
Msichokijua kuwa tayari stock zao walizonunua kwa wakulima kuisha ndio wanajifanya kuzuia baada ya kuhuza mazao yao ..Nchi ya wapiga dili imesharudi
 
Tuendelee na utaratibu huu huu wa kufunga mipaka tuone kama kuna vijana wataenda kulima. Mwisho wa siku kufunga mipaka ndiyo kutaleta njaa. Hakuna mkulima mkubwa atalima kwenye mazingira haya.
Tatizo lenu mnaongelea kitu msicho kuwa na elewa nacho.Nchi zote duniani huwa kuna mazingira ambayo yanaweza fanya kuwepo na zuio la muda la kupeleka chakula nje ya nchi, hasa vyakula vikuu, ili kuwapa nafuu wananchi wake.Na ndio maana hapa kwetu kuna maghala ya NFRA, kila kanda, ili kuhifadhi chakula, wakati wa mavuno na kukiuza panapokuwa na upungufu.suala la kilimo huwezi ukasema eti serikali iliache tu, ndio maana huwa wanatakiwa kuwapa ruzuku za pembejeo.Mfano kwa sasa Wakenya wanaingia nchini kununua mahindi tena kwa bei ya juu sana, kwani kule kwao unga upo juu sana kuliko hapa kwetu, ni wazi wafanya biashara wa ndani watashindwa tu kununua, haya wananchi wako utawafanya nini?!!kwani lazima tu utawapa msaada,
Na mwaka huu mavuno yalikuwa kidogo, karibu nchi zote, kwani miaka kama 4 yote huko nyuma mipaka si ilikuwa wazi lakini watu walikuwa wanalia hakuna masoko?!!
 
Sasa kama Rwanda na Uganda wananunua Kwa wengi sindio vizuri serikali ingesupport wa kulima mavuno yawe mengi Kwa kupunguza Bei ya pembejeo
Rwanda na ugali wapi na wapi?kule afadhari hata mchele, biashara ya mahindi kwa nchi zinazotuzunguka sana sana ni KENYA, ambao wanayapeleka hadi JUBA,
 
Sasa kama Rwanda na Uganda wananunua Kwa wengi sindio vizuri serikali ingesupport wa kulima mavuno yawe mengi Kwa kupunguza Bei ya pembejeo
Hata kukiwa na pembejeo rahisi, Hali ya hewa ikikataa hutapata kitu. Ukiona mwaka ambao Uganda nao wananunua huku kwetu basi jua wao hawana ya kutosha na sisi pia hatuna ya kutosha. Uganda wanazalisha sana mahindi na wala sio chakula chao kikuu. Mwaka juzi nao walileta mahindi yao huku kwetu.

Hata Kenya ukiona wanahitaji sana mahindi ya kwetu basi jua huo mwaka huku kwetu hatujazalisha sana.
 
Back
Top Bottom