Wewe ukila mshahara wako wote in just 2 days Kuna mtu huwa anakuuliza? Hebu ucheni mambo ya kidwanzi aiseeee..Huku kilindi na handeni wakivuna tu wanauza gunia elf30 mpaka 25 unaweza pata alafu baada ya hapo ndoa zinakua nyingi watu wanaongeza wake tu.
.
Saiv wachaga wanauza unga kg1 1500 wanawauzia wakulima
Ikoko la mti gani hili? Kuna wengine kupata hata buku ya kula kwa siku ni mtihani hivyo ukiwa nacho wewe usidhani jamii nzima inafananaAcheni wakulima wauze mazao yao kwa bei nzuri nyieee... Kama hamna pesa ya kununua mchele kwa 2800 si ule ugali wa muhogo au uchemshe viazi vitamu?
Mahindi siyo zao la BiasharaNitajie mwaka ambao kutokana na njaa taifa liligawa chakula cha bure kabisa nchi nzima??
Inaonekana hii field huelewi kabisa aisee... Mahindi tunaweka stoo na kuyauza kulingana na mahitaji ya kurudi nyumbani. Pale tunaposafisha stoo ujue unakaribia kuvuna na kuingiza mzigo mpya. Na kwa staili ya haya matozo yalivyochachamaa tutakuwa tunauza kwa awamu awamu (awamu ya kuandaa shamba na kupanda, awamu ya palizi & mbolea na mwisho awamu ya kujiandaa kuvuna)Msimu unaofuata utalimaje bila kuuza uliyonayo Sasa?
Now I understand kwamba wewe ni Juha...Mahindi siyo zao la Biashara
Juha ni familia yako inayolima Ugali ili itajirike!Now I understand kwamba wewe ni Juha...
Hivi ni jamii ipi duniani ambayo iko sawa kiuchumi? Huyu unayesema anakosa hata buku sababu kubwa ni pamoja na kuuza vigunia vyake 5 alivyo vuna kwa bei chee... Imagine kuna mwaka bei ya mahindi gunia moja ilikuwa elfu 20, sasa hiyo mkulima masikini assume kapata hata gunia 10 tuu halafu auze apate 200,000 na anayo familia na watoto wanasoma kweli atatoboa mpaka avune tena msimu mwingine mkuu?! Je vipi kama hizo hizo gunia 10 akauza kwa 120,000 na kupata 1,200,000??Ikoko la mti gani hili? Kuna wengine kupata hata buku ya kula kwa siku ni mtihani hivyo ukiwa nacho wewe usidhani jamii nzima inafanana
Kama msimu huu nimepata mahindi gunia za kutosha na bei niliyouza ni 120,000 ni bora niendelee kuwa JUHA PRO MAX kwa sababu nimepata fedha za kujikimu, fedha za kurudi shamba msimu ujao na pia ugali wa kula mwaka mzima na familia yangu ninao. Pia ukipigika nina uwezo wa kukupa ugali gunia moja na mchele Supa gunia moja, for free mkuu...Juha ni familia yako inayolima Ugali ili itajirike!
Hahaha.!Kama msimu huu nimepata mahindi gunia za kutosha na bei niliyouza ni 120,000 ni bora niendelee kuwa JUHA PRO MAX kwa sababu nimepata fedha za kujikimu, fedha za kurudi shamba msimu ujao na pia ugali wa kula mwaka mzima na familia yangu ninao. Pia ukipigika nina uwezo wa kukupa ugali gunia moja na mchele Supa gunia moja, for free mkuu...
Kumbe wewe ni taahira, nimeshakueleza hoja ya msingi, hao unaowaita wafanyabiashara hawastahili kupata hasara, milango ifunguliwe wauze kwenye masoko mazuri wanyoona yanawafaa, suala la usalama wa chakula ni la NFRA, ni kwanini wao wasingenujua hayo mahindi wakati yanapatikana? Milango ifunguliwe , hakuna anaestahili kupata hasara, hoja ndio hiyo.Wewe una matatizo ya akili, wapi nimesema wafanyabiashara wanastahiki kupataa hasara?
Nilichikueleza ni kuwa hakuna mkulima anayeweza kupeleka mahindi yake Kenya. Mkulima anauza bei ya soko ilivyo kwa muda husika, atayenunua Kama atayaacha hapa au atapeleka Kenya hiyo ni juu yake
Ikoko la mti gani hili? Kuna wengine kupata hata buku ya kula kwa siku ni mtihani hivyo ukiwa nacho wewe usidhani jamii nzima inafanana
Naiwasifu sana hao jamaa, wao huwa wanaangalia mbali ,ogopa sana watu ambao hawana migodi nchini mwao ila wanamiliki utajiri wa madini ,wao wanakusanya nje na kuleta ndaniUganda na Rwanda wana mahindi ya kutosha kutoka Tanzania maana serikali iliwapa wafanyabiashara wao mabilioni wanunue Tanzania, watu kama akina bashe wakielezwa haya hawajui na naimani mawaziri wengi hawajui mchezo wa kagame na museveni na kenyata wao wanawapa mabilioni watu wao watafute mazao kokote kule hawa wa kwetu wao wanacheka tu
Ndg, kwa grounds hizi mambo ni tofauti sana.Hapa Tanzania [emoji1241] uzalishaji wa mazao utaongeza endapo tuu tuna soko la kutosha na bei nzuri kama sasa, mengine ni mbwembwe tuuu. Yaani mwezi uliopita nilikuwa Mpanda maeneo ya jirani na Railways station nikakuta semi kibao za wafanyabiashara kutoka Kenya [emoji1139] wananunua mahindi sh elfu 16 mpaka elfu 18 kwa debe. Hivi mtu akijua kwamba akivuna gunia 200 atapata milioni zaidi ya 25 (ndani ya kipindi cha miezi 4) nani ataacha kulima mkuu?
Mkuu wapo watu wanalima mahindi hadi kiasi hicho wala usishangae sanaNdg, kwa grounds hizi mambo ni tofauti sana.
Mkulima wa kuvuna kiasi hicho atakuwa amelima ekari ngapi? Ametumia mtaji kiasi gani kuandaa shamba, kupanda, kumwagilia/ kudhibiti ukungu au maji ya mvua, palizix2, kuvuna na kuhifadhi? Bado mitaji, zana za kilimo (tractor, plau, etc), mbolea, palizi, dawa, aina ya udongo, umwagiliaji, uwepo wa visiki ama la ni shida.
Hamuoni aibu wanaume wawatunzie mahindi kwann msijilimie. Halafu huu uzi wako ni uzushi hakuna kt km hikiTuliwaeleza muda mrefu wakashupaza mashingo, tuliwaambia mavuno hayakua mazuri wakaleta hadithi zao
Wapumbavu wanafikiri mnufaika wa bei kubwa ya mahindi ni mkulima wa nusu hekari au hekari moja ambao ni zaidi ya 95% ya wakulima wote wa Tanzania.Ndg, kwa grounds hizi mambo ni tofauti sana.
Mkulima wa kuvuna kiasi hicho atakuwa amelima ekari ngapi? Ametumia mtaji kiasi gani kuandaa shamba, kupanda, kumwagilia/ kudhibiti ukungu au maji ya mvua, palizix2, kuvuna na kuhifadhi? Bado mitaji, zana za kilimo (tractor, plau, etc), mbolea, palizi, dawa, aina ya udongo, umwagiliaji, uwepo wa visiki ama la ni shida.
Tuna viongozi wanyonyaji usipime. Wao ndo wanatoa mitaji Kwa wafanyabiashara wananunua mahindi Hadi 35000 Kwa Wakulima na Sasa wanauza 85-120000.Wapumbavu wanafikiri mnufaika wa bei kubwa ya mahindi ni mkulima wa nusu hekari au hekari moja ambao ni zaidi ya 95% ya wakulima wote wa Tanzania.
Tanzania yetu hii,wakulima wengi ni wakulima wa kilimo cha kujikimu tuu,ambao hawazidishi hekari 2 katika kulima kwao.
Mkulima wa namna hiyo,kweli unategemea ataweza kutoa gunia 25 kwa kila hekari na kusubiria bei ifike 18,000 kwa debe ndio auze!!??
Huo mtaji anatoa wapi?
Mbolea.
Mbegu.
Kulima shamba.
Kupanda.
Palizi.
Kuvuna.
Kuhifadhi.
Hizo hapo juu ni process zinazohitaji hela nyingi sana ili uweze kupata tija kwenye kilimo chako.
Mkulima gani mdogo kwenye 95% ya wakulima wote nchini anaweza ku afford hivyo!!??