Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Tuseme nini juu ya hayo yote Mungu akiwa upande wetu? ni nani atakayeweza kusimama kinyume chake akafaulu?
Bwana asipolinda wakeshao wakesha bure.
Pazeeni sauti mwambieni Muumba Asante!
 
Yaani Ile mechi ya SIMBA na YANGA watu walivyojazana vileee....

Yaani kampeni za CCM na CDM na ile nyomiii....

Mapambano ya kina MWAKINYO na wengineo.....

HAKIKA ASHUKURIWE MUUMBA MBINGU NA NCHI...MUNGU PEKEE WA MWANZO NA MWISHO....Umetakasika Umetakasika Umetakasika!!!
 
Mwengine huyooo...Japo sometime anajielewa sometime hazisomi😁😁..Mr Jumbe.
KUJIFUKIZA....

KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU SANA....

COURAGE TULIYONAYO dhidi ya huo ugonjwa....

Hongera zake AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI kwa kututia moyo pale mwanzo!!!
...Corona imeigeuza dunia na kuleta advantages kwa politicians.
 
Taga la kwanza hili...[emoji16][emoji23]
Sasa kama sio ya Magufuri ni ya baba yako....?? Magufuri ndiye mtu wa kwanza kuona juu ya hili na kutuhabarisha Watz tupige kazi na maombi yaendelee Huku BAADHI ya WATU wakituogopesha lakini JPM Pekee ndiye aliyekuwa mfariji wetu Mbona haukutokea wewe !!Acha umama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…