computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Hii comment ideleteHizi sifa ziende kwa katelefoni make ndo rais, bibi maushungi is held hostage na kapewa uwaziri wa utalii.
Uvccm imejaa mataahira kweli.
Hii inajulikana toka akiwepo Kikwete na sio mambo ya Samia.
Weww ni taahira unae subiri taarifa, wenzako tunazitafuta na kuzijua kabla hujaletewa.Taarifa ya mwezi 8/2021 ilikuwepo tangu enzi za Kikwete?
Sio tuu bando bali hata gharama za Umeme na mafuta👇
View attachment 1933567
View attachment 1933568
View attachment 1933569
View attachment 1933570
Weww ni taahira unae subiri taarifa, wenzako tunazitafuta na kuzijua kabla hujaletewa.
Iko hivyo na inajulikana hivyo miaka mingi. Sasa wewe kujua leo hapo umeona ni jitihada za Samia. Akili huna.
Wasalaam Watanzania wenzangu,
Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita.
Bei
Heko zote kwa serikali ya ccm kujenga MKonge wa taifa leo tungekua tunalia na bando
Pumbavu kabisa,kunya uchambe,ulale!
Mwache musiba mwenzako, mbona wewe ulikuwa musiba wa awamu iliyopita? 😀😀Wewe ndio Musiba wa awamu hii?
[emoji848][emoji848][emoji848]
Huku kujikombakomba ni akili au ujinga?Too much.
Waneangalia vigezo gani vingne kwenye kufanya comparison za gharama? Maana lazma tujue purchasing power ya hizo nchi na nchi yetu zipoje? hali ya uchumi/ kipato cha chini cha wananchi wa hizo nchi na nchi yetu kipoje? Nk.
Tuachane kufikili kama watoto