Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

Labda niulize kuna mabadiliko gan ya gharama za kununua bando za Internet kipindi cha JPM na SSH?
Mimi na Halotel yangu ya mwanachuo napata 250Mb kwa Tsh 500 kwa wiki HIVI SASA. Lakin nakumbuka huko nyuma nilianza na 500Mb kwa jero, ikaja 350Mb kwa jero na sasa ndio 250Mb kwa jero. Kwangu gharama zimepanda siku hzi kuliko zaman, unaponiambia ssh ameshusha gharama nipe data, amechukua initiative gan na gharama imeshuka kiasi gani yaani kutoka mb ngapi mpaka ngapi?
 
Sio tuu bando bali hata gharama za Umeme na mafuta👇

Screenshot_20210911-081259.png

Screenshot_20210911-081240.png

Screenshot_20210911-081220.png

Screenshot_20210911-081118.png
 
Weww ni taahira unae subiri taarifa, wenzako tunazitafuta na kuzijua kabla hujaletewa.

Iko hivyo na inajulikana hivyo miaka mingi. Sasa wewe kujua leo hapo umeona ni jitihada za Samia. Akili huna.

Mkuu mbona unanishambulia mimi badala ya Mleta mada,
Mimi nimeona tarehe ya taarifa ni 10/9/2021 kosa langu liko wapi?
 
Lakini kweli hizo GB 1 uwa zinatimia? Sio tunapigwa juu kwa juu?
 
Wasalaam Watanzania wenzangu,

Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita.

Bei

Heko zote kwa serikali ya ccm kujenga MKonge wa taifa leo tungekua tunalia na bando
 
Waneangalia vigezo gani vingne kwenye kufanya comparison za gharama? Maana lazma tujue purchasing power ya hizo nchi na nchi yetu zipoje? hali ya uchumi/ kipato cha chini cha wananchi wa hizo nchi na nchi yetu kipoje? Nk.

Tuachane kufikili kama watoto
 
Kwahio kila sku ukiambiwa 1$ - 2300 tsh , kumbe bado hujaelewa maaana nzima!
 
Back
Top Bottom