Kwa hiyo hakuna shida yoyote siyo?Vikwazo vya raia wa Tz kuingia Marekani so vikwazo vya kiuchumi.
Go back and read again
Magufuli kagoma kumtembelea baada ya kupewa mwaliko na trump ndiyo sababu ,mabeberu walitaka kumkalisha chini magu ili aache kuifungua Africa kiakili maana magu kasababisha heshima ya mzungu kusujudiwa kushukaDah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Huu ni uonevu kwa tz ilitakiwa Kenya siyo tz maana kdf walikimbia kambi na kuacha majeshi ya marekani kupigana pekeyaoDah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Nani kakwambia Tz ni muslim majority.Dah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Aaah wapi, hebu tuonyeshe press release ya mualiko wa Jiwe kutoka White House ya Trump? Anaifungua Afrika akili kwa kugoma kujadili nao biashara huku akikubali ufadhali wao? Hawa watu si ndio huwa wanafadhili sekta yenu yote ya elimu kupitia hela za kuwalipa walimu? Kuwanunulia wanafunzi madawati, madawa kwenye hospitali, kuwalipa manesi na madaktari n.k, n.k? Yaani hamwafagilii kabisa mabeberu hadi wanawajengea 'matundu ya vyoo'? 😕Magufuli kagoma kumtembelea baada ya kupewa mwaliko na trump ndiyo sababu ,mabeberu walitaka kumkalisha chini magu ili aache kuifungua Africa kiakili maana magu kasababisha heshima ya mzungu kusujudiwa kushuka Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kupenda kwako. Umerukia kusoma comment yangu ukasahau kusoma taarifa kwanza.Nani kakwambia Tz ni muslim majority.
Kwan Venezuela ni Muslim majority.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Trump sidhani kama awewahi kuagiza watu wampige risasi 38 mwanasiasa tene asiye na kosa kabisa utafikiri wanaua chatuHuyu Trump ni tatizo kubwa duniani yaani hana utu kiukweli...ni shetani...wamepita hapo majeuri akina bush lakini still waliheshimu utu wa mtu
Huyu kweli wamarekani wamtoe tu hafai kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasaka magaidi tu! Tujipange kuwaangamizaHii kitu ni pasua kichwa hasa kweli hili balaa litatukumba kama nchi?na je ikitokea tumezuiwa kuingia us,nini hatma ya ofisi za ubalozi wao hapa Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu kesho mkawaombe watanzania kura eti mpewe nchi kwa akili hizi
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu kesho mkawaombe watanzania kura eti mpewe nchi kwa akili hizi
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kweli wamarekani wamtoe tu hafai kabisa