Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Vikwazo vya raia wa Tz kuingia Marekani so vikwazo vya kiuchumi.
Go back and read again
Kwa hiyo hakuna shida yoyote siyo?
Nakumbuka hata Zimbabwe walianza kumwekea Vikwazo Mugabe na watu wake wa karibu kisha wakaendelea kuviboresha kadri muda ulivyokuwa ukisonga.

Lakini hamna tatizo wawawekee tu wataenda Singapore au Dubai kama Mugabe
 
Dah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Magufuli kagoma kumtembelea baada ya kupewa mwaliko na trump ndiyo sababu ,mabeberu walitaka kumkalisha chini magu ili aache kuifungua Africa kiakili maana magu kasababisha heshima ya mzungu kusujudiwa kushuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Huu ni uonevu kwa tz ilitakiwa Kenya siyo tz maana kdf walikimbia kambi na kuacha majeshi ya marekani kupigana pekeyao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Nani kakwambia Tz ni muslim majority.
Kwan Venezuela ni Muslim majority.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kagoma kumtembelea baada ya kupewa mwaliko na trump ndiyo sababu ,mabeberu walitaka kumkalisha chini magu ili aache kuifungua Africa kiakili maana magu kasababisha heshima ya mzungu kusujudiwa kushuka Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapi, hebu tuonyeshe press release ya mualiko wa Jiwe kutoka White House ya Trump? Anaifungua Afrika akili kwa kugoma kujadili nao biashara huku akikubali ufadhali wao? Hawa watu si ndio huwa wanafadhili sekta yenu yote ya elimu kupitia hela za kuwalipa walimu? Kuwanunulia wanafunzi madawati, madawa kwenye hospitali, kuwalipa manesi na madaktari n.k, n.k? Yaani hamwafagilii kabisa mabeberu hadi wanawajengea 'matundu ya vyoo'? 😕
2278534_tapatalk_1574965554979.jpeg
 
Bashite amechangia kwenye hili pia kwa kauli zake za uchochezi wa mashoga kukamatwa. Ni ukiukaji wa haki za binadamu na ndiyo maana wamemnyima viza. Na kama walivyosema watawanyima pia viongozi wengine viza kwa kuwatesha wapinzani kwa haki zao za msingi za kikatiba.
 
Kuna sehemu nimeona imetolewa sababu, kwamba hao waliotajwa humo ni mataifa ambao wanaongoza kwa raia wake hupitiliza visa kila wakienda USA.
 
Huyu Trump ni tatizo kubwa duniani yaani hana utu kiukweli...ni shetani...wamepita hapo majeuri akina bush lakini still waliheshimu utu wa mtu
Huyu kweli wamarekani wamtoe tu hafai kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Trump ni tatizo kubwa duniani yaani hana utu kiukweli...ni shetani...wamepita hapo majeuri akina bush lakini still waliheshimu utu wa mtu
Huyu kweli wamarekani wamtoe tu hafai kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Trump sidhani kama awewahi kuagiza watu wampige risasi 38 mwanasiasa tene asiye na kosa kabisa utafikiri wanaua chatu
 
Kuzuiwa kuingia nchini Marekani tu hii naona haitoshi kwa nchi na serikali kiburi ya kifashist ya Meko.

Tanzania inahitaji vikwazo vya kiuchumi na kutengwa na mataifa mbalimbali ya ulimwengu huu.

Hii itarejesha heshima na kuheshimiana baina ya binadamu hapa nchini.

Travel sanction hii kwa jiwe ataona haimuhusu sana maana anapenda Watanzania waishi kama mashetani.

Travel ban haitutoshi, kama nchi na serikali tunahitaji zaidi vikwazo vya kiuchumi.
 
Kuna watu wanatafutwa, makapuku kama mimi na wewe tutaendelea kukwea pipa kama kawa kwenda kwa bwana mkubwa Trump.

Unforgetable
 
Hii kitu ni pasua kichwa hasa kweli hili balaa litatukumba kama nchi?na je ikitokea tumezuiwa kuingia us,nini hatma ya ofisi za ubalozi wao hapa Dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasaka magaidi tu! Tujipange kuwaangamiza
 
Huyu kweli wamarekani wamtoe tu hafai kabisa

Hafai kwa nani, kwako au kwa Wamarekani?

Analinda maslahi ya watu wake, kama Magufuli alivyowaambia Warundi na Wanyarwanda sasa rudini kwenu! Habari ya hana utu inakujaje, wewe huwi mtu mpaka uhamie Marekani?

Anawafaa wao, ndo maana atashinda tena, democrats wanajua hivyo, wanajaribu figisu za ushindi wa mezani , na hazipiti, Republicans wamejaa bungeni....
 
Back
Top Bottom