pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hivi Unafahamu kenya ipo namba ngapi kwenye list ya wanaoongoza kupokea misaada kutoka US?Upuuzi mtupu! Ufadhili wenyewe si ni msaada kwenu nyinyi 'dona kantri' ambayo serikali yenu haina hela za kutosha kununua madawati, madawa na kuwalipa madaktari na walimu? Rais Uhuru yupo U.K. kujadili na kufata fursa za kibiashara na hao hao wazungu ndio wanaongoza kwa kuwapa Tz misaada ya hela za kujaza pengo kwenye bajeti zenu za elimu, afya n.k. Hapa E.A kuna nchi ambayo inapewa misaada zaidi ya Tz?
Not about Muslims it's about dictatorshipDah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Not kuchukialing the guy is not mnafiki he say truthSasa ameamua kulenga Waafrika juu anajua hawezi chaguliwa tena inabidi aondoke kwa madharau. Jamaa amekuwa akichukia Waafrika na Black Americans kutoka kitambo.
Hivi unafahamu kwamba Kenya inafadhili bajeti yake kwa 95%? Tz- 55%, 45% misaada. Hebu leta takwimu ya hela zote za misaada ambazo zinazopokewa na nchi za A.M. kutoka nchi zote sio US tu, UK, Sweden, France, Germany etc, etc.Hivi Unafahamu kenya ipo namba ngapi kwenye list ya wanaoongoza kupokea misaada kutoka US?
Anaifungua vipi Africa kiakili? You know you kenyans you the cup outsideMagufuli kagoma kumtembelea baada ya kupewa mwaliko na trump ndiyo sababu ,mabeberu walitaka kumkalisha chini magu ili aache kuifungua Africa kiakili maana magu kasababisha heshima ya mzungu kusujudiwa kushuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika nasi tumezidi utumwa Wa hiari kwenda kwao,zamani walitupeleka kwa nguvu kupitia utumwaInaeleweka kabisa Trump jinsi alivyo juu ya mataifa ya africa na yale ya kiislamu,trump hapendi wageni kutoka africa na hayo mataifa ya kiislamu
Ni chuki tu
Statistically, Watanzania wachache sana wanakuja USA kwa mwaka. Kama hiyo ingekuwa sababu, nchi zenye watu wengi wanaokuja USA zingejaza list hii.Kuna sehemu nimeona imetolewa sababu, kwamba hao waliotajwa humo ni mataifa ambao wanaongoza kwa raia wake hupitiliza visa kila wakienda USA.
Umesema wewe. [emoji1] Ningesema mimi wangeniambia kwamba nimetumwa.Not about Muslims it's about dictatorship
Nakuuliza hivi na wewe unauliza hivi!Hivi unafahamu kwamba Kenya inafadhili bajeti yake kwa 95%? Tz- 55%, 45% misaada. Hebu leta takwimu ya hela zote za misaada ambazo zinazopokewa na nchi za A.M. kutoka nchi zote sio US tu, UK, Sweden, France, Germany etc, etc.
Leta takwimu boss, acha kuhamisha goal posts.Nakuuliza hivi na wewe unauliza hivi!
Hata kwenye hiyo 95 ya bajeti yenu hakuna cha maana kinachofanyika maana matatizo ni yale kama kawaida.
Kati yangu na wewe uliyeulizwa hiki ukajibu kile nani anahamisha goal posts?Leta takwimu boss, acha kuhamisha goal posts.
Tofautisha maelezo na maekekezo.Haya maelezo inaonekana yatasaidia kuondoa vikwazo vya US kwa Tz,CCM oyeeeeeee
dodge
Jombaa ukilemewa kuna option ya kurudi kwenye mada. Nilikueleza ulete takwimu za hela ambazo nchi za A.M. zinapokea kutoka kwa nchi za magharibi, sio US pekee yake. Kenya na US zinashirikiana kwenye vita dhidi ya UGAIDI na hapo ndipo huwa wanapeana usaidizi. 'Defence aid' kama ya nchi ya Misri ambayo ndio inapokea hela nyingi kutoka US. Sio hela za kununua madawati na madawa na kujenga vyoo kama Tz. Nchi zingine k.m. U.K huwa tunafanya nao biashara kama nchi yeyote nyingine. Ndio maana nawashangaa mnapomkemea rais Uhuru akiwa kwenye shughuli za kufata fursa za kibiashara huko. Eti sijui anawashobokea mabeberu. Ona takwimu za hela za msaada ambazo UK. waligawa Afrika 'financial year' ya 2018/19. Unaona jina la Kenya hapo? Nyinyi si mlipokea hela za msaada zaidi ya £200Million?Kati yangu na wewe uliyeulizwa hiki ukajibu kile nani anahamisha goal posts?
Ni kweli ushauri wa Dr.Bushiru ni mzuri sana na wa kuzingatia mkuu.Tofautisha maelezo na maekekezo.
Tatizo lenu mkishauriwa mnakwepa ushauri.
Ujue kutofautisha ufadhili na msaadaUpuuzi mtupu! Ufadhili wenyewe si ni msaada kwenu nyinyi 'dona kantri' ambayo serikali yenu haina hela za kutosha kununua madawati, madawa na kuwalipa madaktari na walimu? Rais Uhuru yupo U.K. kujadili na kufata fursa za kibiashara na hao hao wazungu ndio wanaongoza kwa kuwapa Tz misaada ya hela za kujaza pengo kwenye bajeti zenu za elimu, afya n.k. Hapa E.A kuna nchi ambayo inapewa misaada zaidi ya Tz?