Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Kurzweil,

Wahamihaji wengi marekani ambao ni watanzania wanaotafuta Raia za Somalia na Burundi kupata uraia marekani
 
Ili iweje!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajazuia kwenda Marekani asilimia 100%. Kinachofanyika ni kuongeza vikwazo kwa aina ya viza zinazotolewa! Walengwa zaidi ni makundi yenye mitazamo ya ugaidi. Intelligensia ya marekani inaonyesha vijana wengi wa kitanzania wamepata mafunzo ya kigaidi kutoka ISIS, Alshababu na kurudi nchini wakisubiri maagizo. Ikumbukwe Iran imesema moja ya mbinu itakazozitumia kuipiga Marekani ni kutumia ugaidi. Vijana wengi wa kitanzania (inasadikika) wamepata mafunzo ya kigaidi Somalia.
Hivi vikwazo havitokani na sababu za kisiasa wala za kiuchumi! Kwahiyo vijana ambao hawaelewekieleweki hawataruhusiwa kuingia USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…