Unategemea kuingia ikulu kwa mgongo wa wamarekani?endelea kusubiri kamandaMtakomeshwa safari hii kudadeki !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unategemea kuingia ikulu kwa mgongo wa wamarekani?endelea kusubiri kamandaMtakomeshwa safari hii kudadeki !
Upinzani upo kama usingekuwepo ccm isingehaha kuwabambikia kesi kila kukicha, wangeacha wananchi waamue wenyeweAcha kulia lia,Tanzania hakuna upinzani
Kuingia ikulu ni kitu kingine na kuwekewa vikwazo kwa sababu ya kukataa Udikteta ni kitu kingineUnategemea kuingia ikulu kwa mgongo wa wamarekani?endelea kusubiri kamanda
Sababu kubwa ni kukataa ushoga...
Ili iweje!?Kusema ukweli ningependa tuwekewe vikwazo vya uchumi. Najua mama yangu mkubwa kule kijijini Ishinabulandi atateseka ila hata leo anateseka pia. Kwa maana hiyo hakutakuwa na mabadiliko mabaya zaidi kuliko tukiwekewa vikwazo isipokuwa angalau tutapata nafasi ya kuanza upya.
Vipi umesoma taarifa yenyewe au lugha inakusumbua?Ushoga hauna uhusiano na hivyo vikwazo kwa asilimia zote, vikwazo vimeletwa kwa sababu ya uminyaji Demokrasia, unyanyasaji kwa wapinzani
AmenMungu wabariki Wazungu