Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

..Wamarekani wamekosea.

..walitakiwa kuweka sanctions kwa viongozi wachache ndani ya serikali ambao wizara na idara zao zinahusika na ukiukaji wa haki za binaadamu.

..kwa mtizamo wangu waliopaswa kuwekewa vikwazo ni waziri wa mambo ya ndani, waziri wa sheria, waziri wa tamisemi, igp, dpp, jaji mkuu, jaji kiongozi, msajili wa vyama vya siasa, na mkurugenzi tume ya uchaguzi.
 
Hata yule mwanafunzi wa Dodoma secondary alikosa ajira akaenda kushambulia Garisa?
Tabia zao waislam tu kujitoa mhanga ndo sababu, eti wafia dini.
Namba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.
Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
..Wamarekani wamekosea.

..walitakiwa kuweka sanctions kwa viongozi wachache ndani ya serikali ambao wizara na idara zao zinahusika na ukiukaji wa haki za binaadamu.

..kwa mtizamo wangu waliopaswa kuwekewa vikwazo ni waziri wa mambo ya ndani, waziri wa sheria, waziri wa tamisemi, igp, dpp, jaji mkuu, jaji kiongozi, msajili wa vyama vya siasa, na mkurugenzi tume ya uchaguzi.
tapatalk_1579657761479.jpeg


Jr[emoji769]
 
Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao

kama ni hasira dhidi ya sera zetu za ushoga mbona Zambia na Kenya hawaja maindiwa? Zambia wametangaza wao ni Wakristo , ushoga usije na misaada isije, "tuachwe na umaskini, tutakula mizoga, tutaiba, tutakopa, vyovyote viwavyo..." Kasema President Lungu mwezi jana December, sio sisi tunajiuma uma na kumtupia mzigo RC Makonda.

Kenya juzi wamemtandika fimbo shoga kwenye kambi ya jeshi baada ya mjeda kuingia chaka akidhani ni zigo la kawaida... cheki clip ya Mshana Jr... Rest assured America wameiona ile video..

Wanasema hatujakamilisha alama za vidole waliotulazisha tukusanye, wao Marekani raia gani anaweza kukubali kuchukuliwa finger prints kuwapa T Mobile phone company???

Self-serving double standards and massive hegemony, wacha wafunge mipaka yao

Lugalo, Tanki Bovu, Makonde, Afrikana, Kijiweni, Tegeta, Kibaoni, Nyuki, Boko na Bunju, NABAKI AFRIKA
 
Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao
Na sio ajabu unakuta hata akili za viongozi ziko hivi. Utawekewa vikwazo vya kiuchumi kwa sababu ya mku..u wako mwenyewe? Ukitoa usipotoa hayo si yako mwenyewe?
Sababu kubwa ni uminyaji wa demokrasia. Wanao wawakilishi wao humu na wanaona mnavyo watendea wapinzani wapole wasio na hata manati wakati wanarekebisha mambo yaendayo hivyo unadhani watakaa kimya?
Tangazo hilo ni ishara mbaya sana na Magufuli na serikali yake wanapaswa kulichukulia kwa umakini na sio kujifanya kujua. Limetoka wakati mbaya sana, kuelekea uchaguzi kwa nini?
 
Nations being considered for new rules: Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan, Tanzania


WASHINGTON—The Trump administration plans to add seven countries to a group of nations subject to travel restrictions, including Nigeria, Africa’s most populous country, along with others in Africa and Asia, according to administration officials who have seen the list.

The new restrictions would apply to travelers and immigrants from Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and Tanzania. The countries wouldn’t necessarily face blanket bans on travel to the U.S., but could have restrictions placed on specific types of visas, such as business or visitor visas, administration officials said.

Some countries could be banned from participating in the diversity visa lottery program, which awards green cards to people in countries with low levels of immigration to the U.S. President Trump has called for an end to that program, saying it lets undesirable people into the U.S., and he has proposed reorienting the existing visa system toward skilled workers instead.
The officials said the list isn’t final, and on Tuesday the White House was still debating whether to include one or two of the countries.
The Department of Homeland Security didn’t respond to request for comment. The State Department declined to comment.


The administration plans to roll out its expanded travel restrictions on Monday, marking the three-year anniversary of the initial travel ban Mr. Trump signed on his seventh day in office, sparking controversy at the beginning of his term.

The administration has said its policy restricting travel is necessary to prevent potential acts of terrorism, as countries on the list don’t adequately vet their travelers to the U.S.

The first order, which banned travel to the U.S. by most residents of seven majority-Muslim countries, was struck down by a federal court and withdrawn. A second iteration of the ban, issued in March 2017, was also struck down by a federal judge who said it still amounted to religious discrimination against Muslims.

A third version of the policy, issued in September 2017, was upheld by a divided Supreme Court in a 5-4 ruling in June 2018 on the grounds that federal law gives the president broad authority to suspend entry to the U.S.


Those current restrictions blocked travel by individuals from Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen and North Korea, and by political officials from Venezuela. The administration briefly included Chad on the ban list, but removed the country in April 2018.

Unlike the initial list, most of the new countries don’t have majority-Muslim populations. Several of them, however, have had relatively higher rates of their citizens overstaying visas in the U.S., according to DHS data.

In the 2018 fiscal year, 24% of Eritreans on business or visitor visas overstayed their permits, along with 15% of Nigerians and 12% of people from Sudan. Those compared with a total overstay rate in the category of 1.9%.

Immigrant-rights groups criticized the planned expansion of the policy to new countries. “Tens of thousands of American families are already hurting and separated because of this bigoted and cruel ban. Doubling down on it won’t make any of us safer,” said Farhana Khera, president of Muslim Advocates, a nonprofit civil-rights organization.

The move to expand its travel restrictions signals the Trump administration’s intent to ramp up several hard-line immigration policies ahead of the 2020 election, which Mr. Trump’s advisers believe will play in his favor.

The Trump administration this month mounted a plaque in Yuma, Ariz., commemorating the construction of 100 miles of bollard fencing along the southern border. The administration has also ramped up rhetoric against Democratic-led cities and states that have adopted “sanctuary” policies, and administration officials are considering new restrictions on them.

A federal judge this month blocked an executive order the president had signed giving state and local governments the ability to reject placement of refugees in their communities.

The American Civil Liberties Union, which challenged all three versions of Mr. Trump’s travel ban, declined to comment on whether it would bring new litigation against the expansion.

SOURCE: WSJ
 
Back
Top Bottom